Je, kwa nini Uzinifu Umeongezeka Siku Hizi?

Unacheza shikorobo utadhani we ni Shetta,,

Nilisema sikutahiri ila mi nakukeketa,,

Mi umeme wa Tanesco halafu wewe ni jenereta,,

Ninaonekana ninang'ara we unameremeta,,
Nitakuonea sana ukinishitaki hakumi anapeta,
Kutoka kwangu kifinyo kikali ndicho kitu pekee utapata,
Si jadi yangu kwa mgongo wa chupa kumpaka mtu mafuta,
haya toka nduki maana nimeshaona umetepeta.
 
Kwa nini ushoga bado unapingwa kwa nguvu sana na watu dini zote?
Kwa nini Kitimoto bado kinapingwa kwa nguvu sana na Waislamu?
 
Lakini inatakiwa uwe ndani ya ndoa huko oa hata mke zaidi ya mmoja.
 
Nabii DAUD alimlomba mke wa mwanajesh wake eti akizan KAHABA alafu wewe unashangaa ukahaba shame n u😥😥🏃🏃🏃
Mimi sishangai ukahaba ila nashangaa uzinifu kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…