Je, kwa nini Uzinifu Umeongezeka Siku Hizi?

Kwa nini ushoga bado unapingwa kwa nguvu sana na watu dini zote?
Kwa nini Kitimoto bado kinapingwa kwa nguvu sana na Waislamu?
Kwa sababu sheria hairuhusu hivyo vitu.
 
Kwa kiasi kikubwa mwamuzi mkuu ni mwanamke. Maana yeye anafuatwa. Hauwezi kumkataza simba asimle swala. Kama hautaki swala aliwe mwambie asikatize mitaa ya simba
Kwa hiyo ni ruhusa kwa mwanaume kuzini?
 
Kwa hiyo ni ruhusa kwa mwanaume kuzini?
Jamii inawaangalia mwanaume na mwanamke katika namna tofauti. Kwenye suala la uzinzi jamii inamuhukumu na kumnyanyapaa zaidi mwanamke.

Hiyo haimaniishi kwamba mwanaume yeye upande wake ni mseleleko tu. Kuna masuala ambayo anahukumiwa vikali sana lakini mwanamke anapewa unafuu mfano suala la umasikini, jamii inamuhukumu mwanaume kikatili sana tofauti na mwanamke.

Sio haki, lakini nature ndio imeamua
 
Mwanaume anaolewa?? anabeba mimba??
Hapa nazungumzia kuzini.
Hapa mimi nawazungumzia wote migo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…