Je, kwa sababu hizi Wizara ya Mawasiliano ilikuwa sahihi kumtimua Elon Musk na intaneti yake?

Youtube ni chombo cha propaganda cha marekani Bro.
Kuna censorship kubwa sana ya data. Youtube community policy zimekaa kuegemea kulinda maslahi ya US na Vibaraka wake. Ukitaka ufutiwe kabisa chanel Iseme vibaya Ukraine, US, Israel au kwenye mgongano wowote ambao utafunua ubaya wao. Kama taarifa yako itakuwa na uzito mkubwa iunaweza kufutiwa channel.

Kwa hivyo hiyo documentary inakidhi vigezo ila ya kutetea chovjote kuhusu venezuela kupinga hayo haikai Youtube. Mwandishi mmoja alipomuhoji Professor wa Iran kuhusu Israel, alipigwa misumari hadi akakasirikq, video ikaenda viral, aliyeotoa hoja kaanza kutishiwa uhai wake.

Dunia inaendeshwa kimafia. Usipopendwa kila mtu atafanywa akuchukie uonekane bure kabisa.
 
Sio mpinga kristo, akili kubwa tu. Project zake za Rocket alipotoa proporsal hata US walimcheka wakaona kama ni kichaa, leo hata yeye anaweza kuchezesha na kuwawekea rais anayemtaka.
 
Tengenezeni sera na miundombinu ya kujilinda kama nchi acheni uoga, dunia haisimami na serikali inamuogopaje mtu mmoja? Acha kudhalilisha nchi kiongozi, talents za watanzania milioni 60 zimuogope mtu mmoja? Mashaka ya maslahi ya wachache itakuwa, otherwise unaweza kusource kila aina ya utaalam duniani kama serikali na ukajiweka sawa kwa kila shambulio. Labda km una mashaka ya ccm kuangushwa? Na inaangushwaje?
 
Hayati Luge alituhasa tumuogope Mungu na Mitandao. Jamaa anaogopwa kwa sababu anataka kutawala mitandao.
Angalia hata US wenyewe wanamuhofia.

Ila kwa TZ sifahamu Kenya tu kaingia kashusha bei Ya internet bando hadi SafariCom wanaanza kulia. Ila ikitokea kuna maslahi qnafanya chochote kwa maslahi yao ingawa binafsi sijui kwa nini alizuiwa maana Internet ni uchumi


 
Tunaye Bwana mmoja tu ambaye ni Bwana YESU

Vitu vingine viitwe vi (bwana)

Heshima ya jina Bwana ibaki kuwa ni ya mmoja tu duniani na hata mbinguni chief!

Asante kwa kutujuza juu ya uharamia wa bwana Elon musk
Peleka uchizi wako huko

Sio kila mtu ni mfia dini so usitake kila mtu afuate yale unayoyaamini wewe period
 
Sio unadhani huo ndio uhalisia
 
Ndio yeye
 

Nakubaliana na wewe mkuu ila nachosema dawa sio kumkimbia, utakimbia hadi lini mtu anarusha masetilaiti deile, badala ya kukwepa tafuteni namna ya kwenda naye sawa, mwisho wa siku ataweza kuaccess kila kitu chenu bila hata kuja maana hili jamaa ni ligenius! Badala kupeleka vijana pale jalalani kujifunza uchawa pelekeni zingine zikapate maujuzi popote duniani, dunia ya leo hamna pa kukimbilia na uchumi wa kisasa hauangalii una maeka mangapi ya ardhi ila una mawe kiasi gani kichwani mzee mwenzangu!
 
Uongo hiyo youtube unaangalia peke yako?
Channel za kusema vibaya Marekani ziko kibao na hazifutwi
Hata hii ya Maduro ya kuisema vibaya Marekani mbona haijafutwa?
Acha uongo


View: https://youtu.be/rzDcEnQMGt8?si=rH0mf_f5GXaDZ4cv
 
Uko sahihi
 
Eti umesema bill gates labda haijui tanzania
Huna habari kuwa alishawahi kuja hapa bongo na akala wali maharage.....unaichukulia poa tz eeh
 
Tunaye Bwana mmoja tu ambaye ni Bwana YESU

Vitu vingine viitwe vi (bwana)

Heshima ya jina Bwana ibaki kuwa ni ya mmoja tu duniani na hata mbinguni chief!

Asante kwa kutujuza juu ya uharamia wa bwana Elon musk
Uyo bwana ni wako pekeako ndugu yangu..usitujumuishe wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…