matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
- #21
Maduro anachukiwa mno na wananchi wa Venezuela hizo ni propaganda tu za kusema marekani inachukia Venezuela
Ukipata muda angalia hii documentary ya kwa nini wananchi wanamchukia Maduro hii ni mojawapo tu ya sababu katika nyingi
View: https://youtu.be/UexU0FIS-TA?si=Q2wmQZqgERgHQM4u
Youtube ni chombo cha propaganda cha marekani Bro.
Kuna censorship kubwa sana ya data. Youtube community policy zimekaa kuegemea kulinda maslahi ya US na Vibaraka wake. Ukitaka ufutiwe kabisa chanel Iseme vibaya Ukraine, US, Israel au kwenye mgongano wowote ambao utafunua ubaya wao. Kama taarifa yako itakuwa na uzito mkubwa iunaweza kufutiwa channel.
Kwa hivyo hiyo documentary inakidhi vigezo ila ya kutetea chovjote kuhusu venezuela kupinga hayo haikai Youtube. Mwandishi mmoja alipomuhoji Professor wa Iran kuhusu Israel, alipigwa misumari hadi akakasirikq, video ikaenda viral, aliyeotoa hoja kaanza kutishiwa uhai wake.
Dunia inaendeshwa kimafia. Usipopendwa kila mtu atafanywa akuchukie uonekane bure kabisa.