Je, kwa sababu hizi Wizara ya Mawasiliano ilikuwa sahihi kumtimua Elon Musk na intaneti yake?

Je, kwa sababu hizi Wizara ya Mawasiliano ilikuwa sahihi kumtimua Elon Musk na intaneti yake?

Maduro anachukiwa mno na wananchi wa Venezuela hizo ni propaganda tu za kusema marekani inachukia Venezuela
Ukipata muda angalia hii documentary ya kwa nini wananchi wanamchukia Maduro hii ni mojawapo tu ya sababu katika nyingi

View: https://youtu.be/UexU0FIS-TA?si=Q2wmQZqgERgHQM4u

Youtube ni chombo cha propaganda cha marekani Bro.
Kuna censorship kubwa sana ya data. Youtube community policy zimekaa kuegemea kulinda maslahi ya US na Vibaraka wake. Ukitaka ufutiwe kabisa chanel Iseme vibaya Ukraine, US, Israel au kwenye mgongano wowote ambao utafunua ubaya wao. Kama taarifa yako itakuwa na uzito mkubwa iunaweza kufutiwa channel.

Kwa hivyo hiyo documentary inakidhi vigezo ila ya kutetea chovjote kuhusu venezuela kupinga hayo haikai Youtube. Mwandishi mmoja alipomuhoji Professor wa Iran kuhusu Israel, alipigwa misumari hadi akakasirikq, video ikaenda viral, aliyeotoa hoja kaanza kutishiwa uhai wake.

Dunia inaendeshwa kimafia. Usipopendwa kila mtu atafanywa akuchukie uonekane bure kabisa.
 
Sasanjamaa saa ngapi anafanya gunduzi zake na saa ngapi anafuatilia mambo imagine kila sehemu na sector yupo hadi kamncgi kama tanzania alijibu alikuteyari kuleta internet ila serikali imezingua na uhakika ukimtoa billgate hao matajiri wengine ukiwauliza kuhusu Tanzania siajabu wakashangaa hawaijui kwanza ila mwamba amejibu hadi tweet za Tanzania..
Huo muda anautoa wapi na jana limerusha roket kubwa zaidi duniani toka kuubwa kwa dunia ndio rocket kubwa imerushwa jana .

Au ndio mpinga kristo huyu..?
Sio mpinga kristo, akili kubwa tu. Project zake za Rocket alipotoa proporsal hata US walimcheka wakaona kama ni kichaa, leo hata yeye anaweza kuchezesha na kuwawekea rais anayemtaka.
 
Tengenezeni sera na miundombinu ya kujilinda kama nchi acheni uoga, dunia haisimami na serikali inamuogopaje mtu mmoja? Acha kudhalilisha nchi kiongozi, talents za watanzania milioni 60 zimuogope mtu mmoja? Mashaka ya maslahi ya wachache itakuwa, otherwise unaweza kusource kila aina ya utaalam duniani kama serikali na ukajiweka sawa kwa kila shambulio. Labda km una mashaka ya ccm kuangushwa? Na inaangushwaje?
 
Hayati Luge alituhasa tumuogope Mungu na Mitandao. Jamaa anaogopwa kwa sababu anataka kutawala mitandao.
Angalia hata US wenyewe wanamuhofia.

Ila kwa TZ sifahamu Kenya tu kaingia kashusha bei Ya internet bando hadi SafariCom wanaanza kulia. Ila ikitokea kuna maslahi qnafanya chochote kwa maslahi yao ingawa binafsi sijui kwa nini alizuiwa maana Internet ni uchumi

Screenshot_20241016-082639_Chrome.jpg
 
Tunaye Bwana mmoja tu ambaye ni Bwana YESU

Vitu vingine viitwe vi (bwana)

Heshima ya jina Bwana ibaki kuwa ni ya mmoja tu duniani na hata mbinguni chief!

Asante kwa kutujuza juu ya uharamia wa bwana Elon musk
Peleka uchizi wako huko

Sio kila mtu ni mfia dini so usitake kila mtu afuate yale unayoyaamini wewe period
 
Ila inaonekena US inatumika pia kulinda utajiri wa matajiri wake. Mfano tuhumq za Congo Mashariki na vita visivyoisha kuna madini ambayo ni muhimu katika utengemezaji wa Bidhaa za Apple na Iphone. Wao wanaondoa usalama ili wajasiliamali wao wajipatie mali za huko kihuni.
Sio unadhani huo ndio uhalisia
 
Sasanjamaa saa ngapi anafanya gunduzi zake na saa ngapi anafuatilia mambo imagine kila sehemu na sector yupo hadi kamncgi kama tanzania alijibu alikuteyari kuleta internet ila serikali imezingua na uhakika ukimtoa billgate hao matajiri wengine ukiwauliza kuhusu Tanzania siajabu wakashangaa hawaijui kwanza ila mwamba amejibu hadi tweet za Tanzania..
Huo muda anautoa wapi na jana limerusha roket kubwa zaidi duniani toka kuubwa kwa dunia ndio rocket kubwa imerushwa jana .

Au ndio mpinga kristo huyu..?
Ndio yeye
 
Hayati Luge alituhasa tumuogope Mungu na Mitandao. Jamaa anaogopwa kwa sababu anataka kutawala mitandao.
Angalia hata US wenyewe wanamuhofia.

Ila kwa TZ sifahamu Kenya tu kaingia kashusha bei Ya internet bando hadi SafariCom wanaanza kulia. Ila ikitokea kuna maslahi qnafanya chochote kwa maslahi yao ingawa binafsi sijui kwa nini alizuiwa maana Internet ni uchumi

View attachment 3126130

Nakubaliana na wewe mkuu ila nachosema dawa sio kumkimbia, utakimbia hadi lini mtu anarusha masetilaiti deile, badala ya kukwepa tafuteni namna ya kwenda naye sawa, mwisho wa siku ataweza kuaccess kila kitu chenu bila hata kuja maana hili jamaa ni ligenius! Badala kupeleka vijana pale jalalani kujifunza uchawa pelekeni zingine zikapate maujuzi popote duniani, dunia ya leo hamna pa kukimbilia na uchumi wa kisasa hauangalii una maeka mangapi ya ardhi ila una mawe kiasi gani kichwani mzee mwenzangu!
 
Youtube ni chombo cha propaganda cha marekani Bro.
Kuna censorship kubwa sana ya data. Youtube community policy zimekaa kuegemea kulinda maslahi ya US na Vibaraka wake. Ukitaka ufutiwe kabisa chanel Iseme vibaya Ukraine, US, Israel au kwenye mgongano wowote ambao utafunua ubaya wao. Kama taarifa yako itakuwa na uzito mkubwa iunaweza kufutiwa channel.
Uongo hiyo youtube unaangalia peke yako?
Channel za kusema vibaya Marekani ziko kibao na hazifutwi
Hata hii ya Maduro ya kuisema vibaya Marekani mbona haijafutwa?
Acha uongo

View: https://youtu.be/rzDcEnQMGt8?si=rH0mf_f5GXaDZ4cv
 
Nakubaliana na wewe mkuu ila nachosema dawa sio kumkimbia, utakimbia hadi lini mtu anarusha masetilaiti deile, badala ya kukwepa tafuteni namna ya kwenda naye sawa, mwisho wa siku ataweza kuaccess kila kitu chenu bila hata kuja maana hili jamaa ni genius! Badala kupeleka vijana pale jalalani kujifunza uchawa pelekeni zingine zikapate maujuzi popote duniani, dunia ya leo hamna pa kukimbilia na uchumi wa kisasa hauangalii una maeka mangapi ya ardhi ila una mawe kiasi gani kichwani mzee mwenzangu!
Uko sahihi
 
Sasa jamaa saa ngapi anafanya gunduzi zake na saa ngapi anafuatilia mambo imagine kila sehemu na sector yupo hadi kanchii kama tanzania alijibu tweet aliku teyari kuleta internet ila serikali imezingua na uhakika ukimtoa billgate hao matajiri wengine ukiwauliza kuhusu Tanzania siajabu wakashangaa hawaijui kwanza ila mwamba amejibu hadi tweet za Tanzania..
Huo muda anautoa wapi na jana limerusha roket kubwa zaidi duniani toka kuubwa kwa dunia ndio rocket kubwa imerushwa jana .

Au ndio mpinga kristo huyu..?
Eti umesema bill gates labda haijui tanzania
Huna habari kuwa alishawahi kuja hapa bongo na akala wali maharage.....unaichukulia poa tz eeh
 
Tunaye Bwana mmoja tu ambaye ni Bwana YESU

Vitu vingine viitwe vi (bwana)

Heshima ya jina Bwana ibaki kuwa ni ya mmoja tu duniani na hata mbinguni chief!

Asante kwa kutujuza juu ya uharamia wa bwana Elon musk
Uyo bwana ni wako pekeako ndugu yangu..usitujumuishe wote
 
Back
Top Bottom