Je, kwa sababu hizi Wizara ya Mawasiliano ilikuwa sahihi kumtimua Elon Musk na intaneti yake?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Amani ya Bwana iwe nanyi.

Tilionea Elon Musk alikusudia kutuletea intaneti ya bei rahisi ya setilaiti. Nimemfuatilia huyu Bwana licha ya wema wake ni kama mafia sana na anaingilia hadi mambo ya nchi husika kwa maslahi yake.

1: Rais wa Venezuela aliyeshinda amemtuhumu jamaa kutumia zaidi ya Trilioni 2.5 (tsh) kuhakikisha anashindwa na kusapoti mapinduzi huko. Nchi hii ni bingwa wa kuzalisha mafuta duniani.

Huko Bolivia alinukuliwa kudai hata ikibidi kusapoti mapinduzi atafanya. Nchi hiyo inamadini maqlumu ambayo Musk anayategemea kwa ajili ya kutengeneza vifaa vyake vya kwenda angani.

Huko Brazili anabifu na jaji mkuu. Licha ya kufungiwa mtandao wake wa X kwa kumtaka afungue ofisi hapo, baada ya muda mfupi alibuni mbinu watu wakaendelea kuupata kinyume na sheria. Ila kwa sasa naona kama wamemalizana ingawa anaonekana kujiingiza kwenye mambo ya kisiasa huko.

Tajiri huyu namba moja duniani mmqrekani mzawa wa South Afrika inaonekana qnatumiwa na Mabeberu kujiingiza kila kwenye maslahi ya mabeberu hao. UKraine na Russia Yumo, Palestinna na Israel Yumo. Yaani hakuna mahali hajiingizi.

Najiuliza kwa uchu wa rasilimali na madini aliyonayo huyu Bwana na mabosi wake duniani wizara ilikuwa sahihi kufungia huduma yake ya internet ya bei nafuu?

Je kuna haja ya kumlazimisha na sisi afungue ofisi ya Twitter Dodoma au DSM kama walivyofanya Brazil ili kwa makosa yanayosababishwa na mitandao wake tunakwenda ofisini kwake kuwashtaki kisheria hapahapa?

Ni hayo tu
Asubuhi njema.
 
Elon Musk na miradi yake ndio tajiri wa hovyo kuwahi kutokea , anapenda kik sana kila sekta anavamia.

Kwenye cryptocurrency aliingia akavurugu , huku kweny internet hajakaa sawa kwenye simu , mara magari .

Bila ya kusahau alisema atafufua watu 😀 😀 😀 naona limemshinda anavamia kila kona .
 
Yeye anafanya hivyo kulinda utajiri wake mkuu.
Ila inaonekena US inatumika pia kulinda utajiri wa matajiri wake. Mfano tuhumq za Congo Mashariki na vita visivyoisha kuna madini ambayo ni muhimu katika utengemezaji wa Bidhaa za Apple na Iphone. Wao wanaondoa usalama ili wajasiliamali wao wajipatie mali za huko kihuni.
 
Elon Musk na miradi yake ndio tajiri wa hovyo kuwahi kutokea , anapenda kik sana kila sekta anavamia.

Kwenye cryptocurrency aliingia akavurugu , huku kweny internet hajakaa sawa kwenye simu , mara magari .

Bila ya kusahau alisema atafufua watu 😀 😀 😀 naona limemshinda anavamia kila kona .
Trillionea mjanja mjanja.
Maduro Rais wa Venezuela alimwambia aache ujinga kama anataka ngumi aje wazipige,😄😄 sio kusumbua nchi yake.
 
Amani ya Bwana iwe nanyi....

Tilionea Elon Musk alikusudia kutuletea intaneti ya bei rahisi ya setilaiti. Nimemfuatilia huyu Bwana licha ya wema wake ni kama mafia sana na anaingilia hadi mambo ya nchi husika kwa maslahi yake.

1: Rais wa Venezuela aliyeshinda amemtuhumu jamaa kutumia zaidi ya Trilioni 2.5 (tsh) kuhakikisha anashindwa na kusapoti mapinduzi huko. Nchi hii ni bingwa wa kuzalisha mafuta duniani.

Huko Bolivia alinukuliwa kudai hata ikibidi kusapoti mapinduzi atafanya. Nchi hiyo inamadini maqlumu ambayo Musk anayategemea kwa ajili ya kutengeneza vifaa vyake vya kwenda angani.

Huko Brazili anabifu na jaji mkuu. Licha ya kufungiwa mtandao wake wa X kwa kumtaka afungue ofisi hapo, baada ya muda mfupi alibuni mbinu watu wakaendelea kuupata kinyume na sheria. Ila kwa sasa naona kama wamemalizana ingawa anaonekana kujiingiza kwenye mambo ya kisiasa huko.

Tajiri huyu namba moja duniani mmqrekani mzawa wa South Afrika inaonekana qnatumiwa na Mabeberu kujiingiza kila kwenye maslahi ya mabeberu hao. UKraine na Russia Yumo, Palestinna na Israel Yumo. Yaani hakuna mahali hajiingizi.

Najiuliza kwa uchu wa rasilimali na madini aliyonayo huyu Bwana na mabosi wake duniani wizara ilikuwa sahihi kufungia huduma yake ya internet ya bei nafuu?

Je kuna haja ya kumlazimisha na sisi afungue ofisi ya Twitter Dodoma au DSM kama walivyofanya Brazil ili kwa makosa yanayosababishwa na mitandao wake tunakwenda ofisini kwake kuwashtaki kisheria hapahapa?

Ni hayo tu
Asubuhi njema.
huko brazil washateua mwakilishi wa kampuni so amecomply na matakwa ya serikali tayari.
 
Ila inaonekena US inatumika pia kulinda utajiri wa matajiri wake. Mfano tuhumq za Congo Mashariki na vita visivyoisha kuna madini ambayo ni muhimu katika utengemezaji wa Bidhaa za Apple na Iphone. Wao wanaondoa usalama ili wajasiliamali wao wajipatie mali za huko kihuni.
Mkuu Hilo liko wazi kabisa. Tena huku Africa wanatumia ujinga wetu. Huko huko Congo wanamtumia kagame na museveni kuiba Mali za congo
 
Vita vya uchumi ndio vita vikubwa kuliko vita vya mabomu na risasi. Hivi tunavyoita vita sio vita ni matokeo tu ya vita vya uchumi
 
Amani ya Bwana iwe nanyi....

Tilionea Elon Musk alikusudia kutuletea intaneti ya bei rahisi ya setilaiti. Nimemfuatilia huyu Bwana licha ya wema wake ni kama mafia sana na anaingilia hadi mambo ya nchi husika kwa maslahi yake.

1: Rais wa Venezuela aliyeshinda amemtuhumu jamaa kutumia zaidi ya Trilioni 2.5 (tsh) kuhakikisha anashindwa na kusapoti mapinduzi huko. Nchi hii ni bingwa wa kuzalisha mafuta duniani.

Huko Bolivia alinukuliwa kudai hata ikibidi kusapoti mapinduzi atafanya. Nchi hiyo inamadini maqlumu ambayo Musk anayategemea kwa ajili ya kutengeneza vifaa vyake vya kwenda angani.

Huko Brazili anabifu na jaji mkuu. Licha ya kufungiwa mtandao wake wa X kwa kumtaka afungue ofisi hapo, baada ya muda mfupi alibuni mbinu watu wakaendelea kuupata kinyume na sheria. Ila kwa sasa naona kama wamemalizana ingawa anaonekana kujiingiza kwenye mambo ya kisiasa huko.

Tajiri huyu namba moja duniani mmqrekani mzawa wa South Afrika inaonekana qnatumiwa na Mabeberu kujiingiza kila kwenye maslahi ya mabeberu hao. UKraine na Russia Yumo, Palestinna na Israel Yumo. Yaani hakuna mahali hajiingizi.

Najiuliza kwa uchu wa rasilimali na madini aliyonayo huyu Bwana na mabosi wake duniani wizara ilikuwa sahihi kufungia huduma yake ya internet ya bei nafuu?

Je kuna haja ya kumlazimisha na sisi afungue ofisi ya Twitter Dodoma au DSM kama walivyofanya Brazil ili kwa makosa yanayosababishwa na mitandao wake tunakwenda ofisini kwake kuwashtaki kisheria hapahapa?

Ni hayo tu
Asubuhi njema.
Sasa jamaa saa ngapi anafanya gunduzi zake na saa ngapi anafuatilia mambo imagine kila sehemu na sector yupo hadi kanchii kama tanzania alijibu tweet aliku teyari kuleta internet ila serikali imezingua na uhakika ukimtoa billgate hao matajiri wengine ukiwauliza kuhusu Tanzania siajabu wakashangaa hawaijui kwanza ila mwamba amejibu hadi tweet za Tanzania..
Huo muda anautoa wapi na jana limerusha roket kubwa zaidi duniani toka kuubwa kwa dunia ndio rocket kubwa imerushwa jana .

Au ndio mpinga kristo huyu..?
 
Back
Top Bottom