matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Amani ya Bwana iwe nanyi.
Tilionea Elon Musk alikusudia kutuletea intaneti ya bei rahisi ya setilaiti. Nimemfuatilia huyu Bwana licha ya wema wake ni kama mafia sana na anaingilia hadi mambo ya nchi husika kwa maslahi yake.
1: Rais wa Venezuela aliyeshinda amemtuhumu jamaa kutumia zaidi ya Trilioni 2.5 (tsh) kuhakikisha anashindwa na kusapoti mapinduzi huko. Nchi hii ni bingwa wa kuzalisha mafuta duniani.
Huko Bolivia alinukuliwa kudai hata ikibidi kusapoti mapinduzi atafanya. Nchi hiyo inamadini maqlumu ambayo Musk anayategemea kwa ajili ya kutengeneza vifaa vyake vya kwenda angani.
Huko Brazili anabifu na jaji mkuu. Licha ya kufungiwa mtandao wake wa X kwa kumtaka afungue ofisi hapo, baada ya muda mfupi alibuni mbinu watu wakaendelea kuupata kinyume na sheria. Ila kwa sasa naona kama wamemalizana ingawa anaonekana kujiingiza kwenye mambo ya kisiasa huko.
Tajiri huyu namba moja duniani mmqrekani mzawa wa South Afrika inaonekana qnatumiwa na Mabeberu kujiingiza kila kwenye maslahi ya mabeberu hao. UKraine na Russia Yumo, Palestinna na Israel Yumo. Yaani hakuna mahali hajiingizi.
Najiuliza kwa uchu wa rasilimali na madini aliyonayo huyu Bwana na mabosi wake duniani wizara ilikuwa sahihi kufungia huduma yake ya internet ya bei nafuu?
Je kuna haja ya kumlazimisha na sisi afungue ofisi ya Twitter Dodoma au DSM kama walivyofanya Brazil ili kwa makosa yanayosababishwa na mitandao wake tunakwenda ofisini kwake kuwashtaki kisheria hapahapa?
Ni hayo tu
Asubuhi njema.