GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Leo hii ( Siku hizi ) ni Jambo la Kawaida sana Kumkuta au Kumsikia Mwanaume ( Mume au Mchumba wa Mtu ) akiwa tu ana Mahusiano na Mwanamke wa Pembeni ( wa Nje ) akimsema vibaya Mkewe / Mchumba ( kiasi cha mpaka Kumdhalilisha ) kwa kutoa Siri zake pamoja na Madhaifu yake.
Kuna Mwanaume Mmoja nimekutana nae Kichochoroni Gizani hapa niishipo Tandale Uzuri ( ambapo kwa sasa ndiyo Kumekucha ) yuko na Demu tu wa Nje 'anamkandia' Mkewe ambaye GENTAMYCINE namjua kwa Mambo ya Uwongo tupu ili mradi tu Kumdhalilisha na apewe 'Mbunye' inayoonyesha kuwa kwa Kutokujua Kwake 'Kutongoza' kama Wanaume wa Mikoa ya Kagera, Singida, Kigoma, Dodoma kwa Warangi, Tabora na Mwanza Ukerewe kwa Wakara ameihangakia sana tu.
Je, huu ni Uweledi au ni Upumbavu tu?