GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Asante ila Ungenifafanulia zaidi Kimtiritiko ningeshukuru.Hela nyingi sana hiyo inatosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante ila Ungenifafanulia zaidi Kimtiritiko ningeshukuru.Hela nyingi sana hiyo inatosha.
Kuwa makini dingi. Huko unaweza kwenda kuingiza kwenye kikundi cha ugaidi bila kutaka na kutoroka huwezi.aah nkajua umekwama
mm mmeru ndugu yako nipo darisalama kaz za nguvu kwa nguvu zitaniua kqqqmk ndo nimepewa chongo hilo la kazi ya ulinzi somaliland apa natafuta gamba
Kuna mhuni atakuja kuropoka hapa kuwa hela hiyo haitoshi hata msingi.1. Kununua Uwanja wa Ujenzi wa Tsh Milioni 4 na Laki Saba na Elfu Hamsini ( Tsh 4,750,000/= ) maeneo ya ndani ndani kiasi Kinondo, Mingoyo, Vikawe na Mapinga.
2. Kununua Ramani ya Nyumba Shilingi Laki Mbili na Elfu Hamsini ( Tsh 250,000/= )
3. Kujenga Nyumba ya Vyumba Vitatu kwa Tsh Milioni 25 huku na Gharama ya Ufundi / Mafundi ( Labour Charge ) ikiwemo
4. Kuiwekea Madirisha ya Kawaida na Kununulia Makochi, Vitanda, Jiko la Gesi, Masufuria, Ndoo, Vjiko, Umma, Upawa, Mabeseni, Friji, Makabati, Meza ya Chakula kwa Tsh Milioni 8.
5. Kuvuta Umeme na Maji kisha kuweka Taa ( Bulbs ) pamoja na Kuweka Feni za Kawaida tu kila Chumba ili wakati wa Joto Kali la Dar es Salaam nisibanikwe nalo.
Ukweli ni kwamba Kiasi nilichonacho / kilichopo ni Tsh Milioni 50 ila nataka Kujibana kwa Tsh Milioni 40 tu ya kufanya yote hayo niliyoyataja hapa juu ili hii Tsh Milioni 10 itakayobakia niitumie kwa Kununulia Pikjpiki ( Bodaboda ) zangu Nne ( 4 ) tu au niiweke katika Mfumo wa UTT AMIS ili niwe napata Interest ( Faida ) ya kila baada ya Miezi Minne au Miezi Sita au kwa Mwaka ( Miezi Kumi na Mbili ) tu.
Tafadhali karibuni nyote katika Kuniongoza na Kunishauri vyema katika hili Jambo langu la Kimaendeleo baada ya Kuzichangachanga Kiubishi.
Pia kuwa Huru kabisa nawe pia kuja na Mtiririko wako ( kama ambao Mimi nimeutoa ) hapa juu ila hakikisha tu hutoki ndani ya Kiasi hicho cha Pesa cha Shilingi Milioni Arobaini ( Tsh 40,000,000/= )
Karibuni na Nitawashukuruni mno. Na tambueni Nyumba niitakayo ni ya Kawaida ( ya Maisha yangu tu ya Kawaida ) na si ile ya Kitajiri ( Kifahari ) kama mlizonazo wana JamiiForums wote hapa.
Ninaungana na TEC 100% kwa Tamko.
nAtembea na yesu akinibwaga basiKuwa makini dingi. Huko unaweza kwenda kuingiza kwenye kikundi cha ugaidi bila kutaka na kutoroka huwezi.
Mimi si mtaalamu wa ujenzi ila nimetumia uzoefu wangu wa kujenga jenga vijumba vya saizi hiyo tena mikoani ambako vifaa vya ujenzi ni bei juu kuliko huko unakotaka kujenga.Asante ila Ungenifafanulia zaidi Kimtiritiko ningeshukuru.
Shukran Mkuu.Mimi si mtaalamu wa ujenzi ila nimetumia uzoefu wangu wa kujenga jenga vijumba vya saizi hiyo tena mikoani ambako vifaa vya ujenzi ni bei juu kuliko huko unakotaka kujenga.
Pamoja mkuu.Shukran Mkuu.
Hongera sana mkuu.1. Kununua Uwanja wa Ujenzi wa Tsh Milioni 4 na Laki Saba na Elfu Hamsini ( Tsh 4,750,000/= ) maeneo ya ndani ndani kiasi Kinondo, Mingoyo, Vikawe na Mapinga.
2. Kununua Ramani ya Nyumba Shilingi Laki Mbili na Elfu Hamsini ( Tsh 250,000/= )
3. Kujenga Nyumba ya Vyumba Vitatu kwa Tsh Milioni 25 huku na Gharama ya Ufundi / Mafundi ( Labour Charge ) ikiwemo
4. Kuiwekea Madirisha ya Kawaida na Kununulia Makochi, Vitanda, Jiko la Gesi, Masufuria, Ndoo, Vjiko, Umma, Upawa, Mabeseni, Friji, Makabati, Meza ya Chakula kwa Tsh Milioni 8.
5. Kuvuta Umeme na Maji kisha kuweka Taa ( Bulbs ) pamoja na Kuweka Feni za Kawaida tu kila Chumba ili wakati wa Joto Kali la Dar es Salaam nisibanikwe nalo.
Ukweli ni kwamba Kiasi nilichonacho / kilichopo ni Tsh Milioni 50 ila nataka Kujibana kwa Tsh Milioni 40 tu ya kufanya yote hayo niliyoyataja hapa juu ili hii Tsh Milioni 10 itakayobakia niitumie kwa Kununulia Pikjpiki ( Bodaboda ) zangu Nne ( 4 ) tu au niiweke katika Mfumo wa UTT AMIS ili niwe napata Interest ( Faida ) ya kila baada ya Miezi Minne au Miezi Sita au kwa Mwaka (Miezi Kumi na Mbili ) tu.
Tafadhali karibuni nyote katika Kuniongoza na Kunishauri vyema katika hili Jambo langu la Kimaendeleo baada ya Kuzichangachanga Kiubishi.
Pia kuwa Huru kabisa nawe pia kuja na Mtiririko wako (kama ambao Mimi nimeutoa) hapa juu ila hakikisha tu hutoki ndani ya Kiasi hicho cha Pesa cha Shilingi Milioni Arobaini ( Tsh 40,000,000/= )
Karibuni na Nitawashukuruni mno. Na tambueni Nyumba niitakayo ni ya Kawaida ( ya Maisha yangu tu ya Kawaida ) na si ile ya Kitajiri ( Kifahari ) kama mlizonazo wana JamiiForums wote hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Ili baadae nikija Kuumbuka na Kuteseka Maishani 'Bwege Nazi' Wewe na Wenzako mje Kunicheka?
😅😅😅Unaweza tumia hata 20m ....ukapata nyumba nzuri sana....halafu 20 nyingine ukaweka kwenye biashara....ambazo wengi wanaona za kiduanzi....genge...pombe za kienyeji...supu...mishkaki....au voop.
Kampuni gani unaweka hela 40M?leta tuibetie gem 2 izae mirion semanini
Utakubali kuniuzia kwa 5M Tsh pekee?Mkuu nauza kiwanja Vikawe! Seven kilometers from "bawbaw" secondary school"
Can you write this in English please?Mkuu nakudhauri hiyo hela fungua kilinge, mtaji usinga na kaniki
Mkuu nauza kiwanja Vikawe! Seven kilometers from "bawbaw" secondary school"
Nimeshauriwa Nyumba za Kununua huwa zina Maluweluwe hivyo ni vyema Ukajenga tu yako.Hivi hiyo pesa ukizunguka zunguka huwezi kupata nyumba ya kununua hata kama utamaalizia baadhi ya finishing? Mbona naziona sana mitandaoni