chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Lissu alienda Iringa akimtetea Msigwa kwa nguvu zote hata kumdhalilisha Mh. Mbowe, je Lissu ataanza kuheshimu beacons za siasa za upinzani, hasa Mbowe zinapotoa msimamo?
Je Lissu bado hajajua huyo anayemuita "Abdul" alikuwa anawasiliana na nani (kama ni kweli, maana Lissu kwa uongo)? Je alienda kumtetea mtu wa Abdul akamuacha mtiifu wa chama chake?.
The Abdul Myth is bigger than Lissu, its possible hata Lissu haelewi mishipa ya Abdul ilivyojaa katika mwili wa CDM, who is Abdul, and how deep he is within CDM?
Msigwa aliposhindwa uchaguzi wa kanda alienda kuripoti moja kwa moja kwa Lissu na kupiga naye mikutano, is Lissu next? Je msigwa amehama CDM baada ya kuongea na Lissu katika mikutano ya hadhara wakiwa wamemtenga Mbowe?