Je, kwa zama hizi na karne hii ni halali kumuadhibu kwa kipigo mkeo?

Kama huna utii kwa mumeo unataka upewe nini cha kukustahili
Kama kupigwa ndio best resort basi ni heri aende akatafute mwenye utii, kwani alishikiwa bastola kunioa?!
Nyumbani kwenyewe kuna muda wazazi wanaacha kuchapa watoto wao. Kwenye ndoa ndo uje kuanza tena kushindiliwa mi bakora.......no, thank you!
 
Mwanamke unatakaje ndoa kama huwezi kumtii na kumheshimu mmeo?
 
Hapo ukifanya maamuzi ya hivyo ndo utaweza iendeshq family vizuri kabisa bora mkeo ashirikieane na watoto wakupige uzeeni ila sio ujanani
Mwanamke unatakiwa kumzidi kila kitu kwa umbali hata wa 100 times.. hapo mbona utaishi nae vizuri sanaaa 😅😅
 
Back
Top Bottom