rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,797
- 5,510
Madilu system - Vice VersaTafiti yangu ndogo japo sio uhakika 100% , wazazi wetu wanajua kuchagulia watoto wao wenza wanaoendana nao kwa sana .
Unaweza kwenda mji mwingine kwa ajili ya kusoma ,ukakutana na mtu mnapendana ila kwenye uwanja wa ndoa hamuendani kutokana na asili yenu ...Arranged marriages ndiyo mfumo wa India .Sasa angalia divorce rate yao ni ndogo hakuna duniani..