Hii sasa ni moja ya sababu ambayo inafanya ndoa zinapungua, unajua asilimia kubwa ya wanaume hatuna muonekano mzuri wa kushtua wanawake, hivyo thamani pekee tunayobaki nayo wanaume wengi ni pesa, na pesa ya mwanaume inazidi kua worthless kwenye mahusiano, sababu wadada wengi sahivi wana make their own money, hivyo mdada akiwa na kipato cha million 2 kwa mwezi atataka aolewe na mwenye kipato cha million 5 kwa mwezi, hivyo options za huyo mdada kuolewa zinazidi kua limited
Au kwa maana ingine ni ngumu mwanamke kutongozwa na mwanaume handsome, kama akitongozwa na mwanaume handsome, basi huyo mwanaume ni dead beat dad, marioo, au mtu wa kupiga na kusepa. Hivyo mdada kama ana kazi yake nzuri anaona kuliko aolewe ni heri abaki single, sababu hana njaa ya kuolewa na mwanaume mwenye sura mbaya kisa hela
Strong and Fearless