Je, kwanini ndoa imekuwa ngumu kufikiwa?

Madilu system - Vice Versa

Your browser is not able to display this video.
 
Lakini si ndoa zote ziko hivi. Kuna wanaume wanaopenda kutumia muda nyumbani na wake zao. Sio kila mwanaume anakubali yaishe, wengine wanashirikiana na wake zao kuunda ndoa yenye furaha. Labda tatizo si ndoa yenyewe, bali jinsi watu wanavyoichukulia.
Najua unampenda sana huyo mwanamke wako ila ngoja ukikua utayaona na kuyaexperience haya ninayokuambia.

πŸ“ŒπŸ“ŒMapenzi yanapofusho na huwa wanaume tukipenda hatusikii wala kuelewaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ case study Mmakonde kwa Kajala.
 
Mwanaume huna hela halafu unaoa hapo lazima ndoa iwe ngumu
πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“ŒUkweli ambao kila mwanaume/mvulana anatakiwa kuujuaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

"The game is brutal but still fair"
 
Najua unampenda sana huyo mwanamke wako ila ngoja ukikua utayaona na kuyaexperience haya ninayokuambia.

πŸ“ŒπŸ“ŒMapenzi yanapofusho na huwa wanaume tukipenda hatusikii wala kuelewaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ case study Mmakonde kwa Kajala.
Si wanaume pekee wanaopofushwa na mapenzi. Hata wanawake wanapopenda sana, wanaweza kupuuza red flags. Lakini si kila mtu anayependa anapoteza uwezo wa kufikiriβ€”wengine wanapenda lakini bado wanajua wanachofanya.

Pia, kwa usahihisho mdogoβ€”mimi si mwanaume, mimi ni mwanamke.
 
Najisaka bado mkuu. Nikizipata nitaoa
 
Daah.! sijui natumia lugha ngumu au vipi. Ni hivi huo usawa wa kijinsia ndio haukujumuishwa katika kuisuka taasisi ya ndoa. Ndoa haitambui usawa wa kijinsia, inachotambua mke yupo chini ya mamlaka ya mume.

Ndio maana uko juu nikasema tuchague kipi muhimu. Kama feminism ndio ya muhimu basi tuiondoe taasisi ya ndoa au tuisuke upya kuendana na misingi ya feminism kama ndoa ni muhimu basi tuachane na feminism au tusuke upya msingi wa feminism ili iingie kwenye mfumo wa ndoa bila kuleta hitilafu.

Nitoe mfano katika ndoa mwanaume ni provider na protector ambapo return anayoipata kutoka kwa mwanamke ni utiifu na uaminifu. Feminism imemwaminisha mwanamke utiifu kwa mume ni utumwa kwaiyo kama tukitaka kufuata feminism yaani kuondoa ilo takwa la utiifu wa mke kwa mumewe maana yake inabidi tuondoe na lile jukumu la mwanaume kuwa provider na protector kwa mwanamke.

Kumtaka mwanaume acheze part yake kama misingi ya ndoa inavyotaka na mwanamke acheze part kulingana na misingi ya feminism hio lazima ilete mkwamo
 
Masharti ya ndoa ndo magumu, yamekaa kiuonevu sana..kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuvumilia.

Labda utaratibu wa ndoa ubadilishwe.
Watu wanaingia kwenye ndoa kwasababu jamii imewataka wafanye hivyo.
kingine ni dini tofauti ya wawili hao
 
Najua unampenda sana huyo mwanamke wako ila ngoja ukikua utayaona na kuyaexperience haya ninayokuambia.

πŸ“ŒπŸ“ŒMapenzi yanapofusho na huwa wanaume tukipenda hatusikii wala kuelewaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ case study Mmakonde kwa Kajala.

Hiyo case study nyepesi. Mpe ya Mabeste na kile kidemu alichozaa nacho.
 
Je, unadhani wanawake wanapaswa kuingia kwenye ndoa wakijua kabisa kwamba hawatahitaji kumtegemea mwanaume, au bado mwanaume anapaswa kuwa provider hata kama mwanamke ana kipato chake?
Na hapo ndipo patakapokuwa ni miili miwili si mwili mmoja, mke ataingia na kwenye ndoa kama anakuja kujitegemea, ni haja ya mwili tu mengine nijitegemee mwenyewe.
 
Usijiulize sana
#Kataa Ndoa
Madanguro nimengi kuliko hata ndoa,nani ataoa,vijana wapo mitandaoni wanapata huduma zote vocha yako tu,waoaji ni waislam angalau wanaijali dini yao ila upande wa pili nijanga kubwa sana imefikia wadada wanashindana mavazi kanisani ilikuvutia waoaji
 
Hapo sikupingiπŸ‘πŸ‘
 
Sema we jamaa unapiga punchlines kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…