Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
ZPPP ilikuwa pia ya Waafrica?walichomaanisha ni kuwa machotara kwa maana jamii ya waliochanganya damu ni kuwa wanatokana na chama cha Hizbu kwa maana ya chama cha ZNP, na Zanzibar inamilikiwa na CCM/ASP ambao ni chama cha waafrica.
Muungano wetu una changamoto sana, mambo mengi yanaenda kisiasa tuWadau nimekuwa najiuliza sana juu ya hili Suala, Kwanini Mtanzania Bara mwenye Uraia wa Huku Bara hawezi kugombea URAIS wa ZANZIBAR bali Mzanzibar Raia wa Zanzibar anaweza kugombea URAIS wa TANZANIA?
Mwenye Ufahamu atujuze
Kwa watoe isiwe suala la muungano wakati wao wanakuja kuchuma kwetu tu. Wacha basi tukawanyooshe kuleUrais wa Tanzania ni swala la Muungano lakini urais wa Z'bar si swala Muungano.
Serikali tatu yaani iwepo Tanzania, Tanganyika na Zanzibar siyo?Ndio maana Serikali 3 Muhimu ili wote tufaidi Matunda ya muungano
ZPPP ilikuwa pia ya Waafrica?
Kwa sababu Zanzibar sio 'Sovereign state' haina hadhi ya mtu kutoka Tanzania bara kugombea huko kwenye kisiwa cha mapumziko ya wageni.Wadau nimekuwa najiuliza sana juu ya hili Suala, Kwanini Mtanzania Bara mwenye Uraia wa Huku Bara hawezi kugombea URAIS wa ZANZIBAR bali Mzanzibar Raia wa Zanzibar anaweza kugombea URAIS wa TANZANIA?
Mwenye Ufahamu atujuze
Mbona nasikia hawa walikuwa kitu kimoja na ZNP, Kuipinga ASPndio mkuu
Mbona nasikia hawa walikuwa kitu kimoja na ZNP, Kuipinga ASP