Je, kwanini Raia wa Zanzibar anaweza kugombea Urais wa Tanzania lakini Mtanzania Bara hawezi kugombea Urais wa Zanzibar?

Je, kwanini Raia wa Zanzibar anaweza kugombea Urais wa Tanzania lakini Mtanzania Bara hawezi kugombea Urais wa Zanzibar?

walichomaanisha ni kuwa machotara kwa maana jamii ya waliochanganya damu ni kuwa wanatokana na chama cha Hizbu kwa maana ya chama cha ZNP, na Zanzibar inamilikiwa na CCM/ASP ambao ni chama cha waafrica.
ZPPP ilikuwa pia ya Waafrica?
 
Wadau nimekuwa najiuliza sana juu ya hili Suala, Kwanini Mtanzania Bara mwenye Uraia wa Huku Bara hawezi kugombea URAIS wa ZANZIBAR bali Mzanzibar Raia wa Zanzibar anaweza kugombea URAIS wa TANZANIA?

Mwenye Ufahamu atujuze
Muungano wetu una changamoto sana, mambo mengi yanaenda kisiasa tu
 
Wadau nimekuwa najiuliza sana juu ya hili Suala, Kwanini Mtanzania Bara mwenye Uraia wa Huku Bara hawezi kugombea URAIS wa ZANZIBAR bali Mzanzibar Raia wa Zanzibar anaweza kugombea URAIS wa TANZANIA?

Mwenye Ufahamu atujuze
Kwa sababu Zanzibar sio 'Sovereign state' haina hadhi ya mtu kutoka Tanzania bara kugombea huko kwenye kisiwa cha mapumziko ya wageni.
 
Mbona nasikia hawa walikuwa kitu kimoja na ZNP, Kuipinga ASP

siasa za Zanzibar hazikua baina ya uafrica na uarabu kama tunavojaribu kuaminishana, hizo ni propaganda za watawala kujaribu kujisafisha
 
Back
Top Bottom