Je kwanini Simba imemsajili kocha aliyeshinda loser cup

Kauli ya kombe la loser ilianzia kwenu Ila mlipofika fainali mkaambiwa ni kombe la loser mkaona Kama mnatukanwa
 
Mlioseosema ni loser cup ni nyie wenyewe baada ya kukosa kulishiriki kwa miaka na mikaka, mlipopata nafasi mkapagawa tukawakumbusha maneno yenu, mkala matapishi yenu mpk mkatoboa nusu fainali.
 
Halafu una akili sana wewe, swali la msingi hili.

Kwani b... Inakuwaje tena wabobezi kwenye ligi ya mabingwa mnamchukua kocha bingwa wa shirikisho?
Mdakuzi
Huko hakukuwa level yake, ndiyo maana alichukua tu hilo kombe bila ushindani mkubwa toka kwa wapinzani wake. Simba sasa imemleta kwenye level za kiwango chake.

Ova
 
Huko hakukuwa level yake, ndiyo maana alichukua tu hilo kombe bila ushindani mkubwa toka kwa wapinzani wake. Simba sasa imemleta kwenye level za kiwango chake.

Ova
Wish ningekuona kwenye mijadala shuleni, such a phucking genius!

Alichukua bila ushindani vipi b...? Wakati kanuni zilimbeba?
Uliona alivyotweta second leg?
 
Wish ningekuona kwenye mijadala shuleni, such a phucking genius!

Alichukua bila ushindani vipi b...? Wakati kanuni zilimbeba?
Uliona alivyotweta second leg?
Ha ha ha haaa, asante sana b... Si unajua kocha bora kwenye mechi hizi huwa anamaliza mechi away?

Ova
 
Kwani walioanza kuiita shiriisho ni kombe la walioshindwa ni nani?
 
Wewe umeona kombe la komfederesheni pekeake.... Hahahahaaa
 
We mjinga nimechekaaaaaa! Sawa, leo umeshinda b...

Sitaki kusema ilikuwa bahati, ulikuwa uzembe kupoteza nyumbani.
Mlifanya makosa nyumbani, labda hata aina ya viatu mlivyotumia siku ile kwenye mvua ile viliua sana kiwango chenu.

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…