rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Kauli ya kombe la loser ilianzia kwenu Ila mlipofika fainali mkaambiwa ni kombe la loser mkaona Kama mnatukanwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko hakukuwa level yake, ndiyo maana alichukua tu hilo kombe bila ushindani mkubwa toka kwa wapinzani wake. Simba sasa imemleta kwenye level za kiwango chake.Halafu una akili sana wewe, swali la msingi hili.
Kwani b... Inakuwaje tena wabobezi kwenye ligi ya mabingwa mnamchukua kocha bingwa wa shirikisho?
Mdakuzi
Wish ningekuona kwenye mijadala shuleni, such a phucking genius!Huko hakukuwa level yake, ndiyo maana alichukua tu hilo kombe bila ushindani mkubwa toka kwa wapinzani wake. Simba sasa imemleta kwenye level za kiwango chake.
Ova
Ile ya siku zako labdaMimi ni msimbazi damu
Ngoja mbananishwe huko Ghana [emoji1110] ndiyo mtatia akilikocha wa kombe la looser ataweza kuwavusha kweli?
Ha ha ha haaa, asante sana b... Si unajua kocha bora kwenye mechi hizi huwa anamaliza mechi away?Wish ningekuona kwenye mijadala shuleni, such a phucking genius!
Alichukua bila ushindani vipi b...? Wakati kanuni zilimbeba?
Uliona alivyotweta second leg?
Kwani walioanza kuiita shiriisho ni kombe la walioshindwa ni nani?Bongo mambo mengi .....
Msimu uliopita Baada ya wananchi kuvuka vikwazo vingi Katika michuano ya CAF confederation na kufika fainali....baadhi ya wachambuzi na semaji lao la mchongo na mashabiki wa kolo fc walisema ni Ligue ya loser ( waliofeli)
Swali ni Je ...zile mbinu zilizotumikana huyu kocha kule loser cup [emoji23].....zinaweza fanya kazi huku champions league???
Maoni yngu
Mimi naona huyu benchika amekuja kuua cv yake ....mzimu uliopo Simba ni sawa na ule wa man united
Wewe umeona kombe la komfederesheni pekeake.... HahahahaaaBongo mambo mengi .....
Msimu uliopita Baada ya wananchi kuvuka vikwazo vingi Katika michuano ya CAF confederation na kufika fainali....baadhi ya wachambuzi na semaji lao la mchongo na mashabiki wa kolo fc walisema ni Ligue ya loser ( waliofeli)
Swali ni Je ...zile mbinu zilizotumikana huyu kocha kule loser cup [emoji23].....zinaweza fanya kazi huku champions league???
Maoni yngu
Mimi naona huyu benchika amekuja kuua cv yake ....mzimu uliopo Simba ni sawa na ule wa man united
We mjinga nimechekaaaaaa! Sawa, leo umeshinda b...Ha ha ha haaa, asante sana b... Si unajua kocha bora kwenye mechi hizi huwa anamaliza mechi away?
Ova
Mlifanya makosa nyumbani, labda hata aina ya viatu mlivyotumia siku ile kwenye mvua ile viliua sana kiwango chenu.We mjinga nimechekaaaaaa! Sawa, leo umeshinda b...
Sitaki kusema ilikuwa bahati, ulikuwa uzembe kupoteza nyumbani.
Halafu itabidi ukanifafanulie hili suala la viatu b... umelikomaliaga sana, huwa sielewi like how?Mlifanya makosa nyumbani, labda hata aina ya viatu mlivyotumia siku ile kwenye mvua ile viliua sana kiwango chenu.
Ova
Huyo hatumjibu siku hizi..kasema yeye ni mcha mbuzi.....