Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 23,040
- 33,028
Hii ni kauli ya kiongozi wa Simba baada ya mechi Yao
MENEJA PATRICK REYEMAMU 🚨
"Kuna namna sisi kama Simba matokeo yetu tunavyoyapata, sidhani kama kuna timu hapa nchini ingeweza kuyapata kwa magumu haya. Kuna timu kama zingekuwa zinafanyiwa hivi, sasa zingekuwa daraja la pili huko.
"Tunashukuru kwa alama tatu ngumu na tunazidi kuzipambania zingine.🦁🔥
NO RETREAT, NO SURRENDER! 💪"
Ameandika Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu.
💥💥💥💥💥
Hizi ni kauli za mashabiki wa Simba baada ya yanga kuwachapa mashujaa
Angalia kabla mpira hajapigwa mabeki 3 wanakaba kwa macho Yani mtu mpaka ananyenyua mguu anapiga wamesimama wimaaa 😂😂
Tazama kipa golini mpira huu hapa kasubiri umempita ndio karuka 😂😂😂🐸🐸
Hakika ni za kwetu🐸🐸
Je Kuna ukweli wa malalamiko ya mashabiki wa Simba