Bado ni hatua ndogoKwasababu tayari walishafikia malengo yao ya kufika group stage.
Ngoja tuone kama full house haitatokea Kwa mkapaNani kakwambia hawaumii? Ni vile tuu kujikaza kisabuni ili mabango yao yasichache...na ili yaendelee kuonekana relevant..yani wanajikaza ili ionekane bado Simba imefeli....
Hahhaa subiri soon tutaona kama mna furaha ya ukweli au ya kubumba...
AhaaaBado Wana yanga tu Imani na timu yetu na kufungwa Jana sio kigezo chakuzira maana changamoto zipo ili uzitatue pia malengo yetu yaliwekwa Bayana.
Kabisa mkuu....full confidencePamoja na kuwa Yanga hakupata matokeo lakini yeye alicheza kama vile yupo nyumbani ilhali alikuwa ugenini.
Bado wapo na ganzi watasikia maumivu baada ya mechi ya alhaly!Leo nmepata muda wa kucheki marudio ya michezo walicheza hawa ma giant wa soka hapa east Africa....Simba na Yanga
But ingawa Yanga alipigwa 3_0 na Simba ku draw .....lkn mtandaoni imekuwa ni kama Simba ndiye aliyechezea kichapo .....Yanga wanaenjoy tu .....na uwanjani wamesema wataenda na huku wavaa kipwani pwani
NB Je inawezekana vipi kitu kama hiki.....waliofungwa Wana morali zaid ya walio drawView attachment 2828595
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hivi magoli 3 yote hayo hamkuweza hata kupiga kimoja cha kufutia machozi why iwe ni makosa madogo?Kusema ukweli, tulifungwa kwa makosa madogo sana ambayo yanarekebishika
Kabisa kabisa....Kwasababu tayari walishafikia malengo yao ya kufika group stage.
Ahly atatonesha kidonda kwa kupiga kwenye mshono.Bado wapo na ganzi watasikia maumivu baada ya mechi ya alhaly!
Ni kujidanganya moyo kwa kudai aliyefungwa tatu kwa nunge ana furaha na aliyetoka sare amechukia.Huu uongo ni wa wajinga pekee.Leo nmepata muda wa kucheki marudio ya michezo walicheza hawa ma giant wa soka hapa east Africa....Simba na Yanga
But ingawa Yanga alipigwa 3_0 na Simba ku draw .....lkn mtandaoni imekuwa ni kama Simba ndiye aliyechezea kichapo .....Yanga wanaenjoy tu .....na uwanjani wamesema wataenda na huku wavaa kipwani pwani
NB Je inawezekana vipi kitu kama hiki.....waliofungwa Wana morali zaid ya walio drawView attachment 2828595
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwasababu bado hawaamini kama wamemfunga Simba goli 5.Leo nmepata muda wa kucheki marudio ya michezo walicheza hawa ma giant wa soka hapa east Africa....Simba na Yanga
But ingawa Yanga alipigwa 3_0 na Simba ku draw .....lkn mtandaoni imekuwa ni kama Simba ndiye aliyechezea kichapo .....Yanga wanaenjoy tu .....na uwanjani wamesema wataenda na huku wavaa kipwani pwani
NB Je inawezekana vipi kitu kama hiki.....waliofungwa Wana morali zaid ya walio drawView attachment 2828595
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Al ahly ni mlima mzito ....so hawawezi kusikitika[emoji23]Bado wapo na ganzi watasikia maumivu baada ya mechi ya alhaly!
Nakubaliana nawwKusema ukweli, tulifungwa kwa makosa madogo sana ambayo yanarekebishika, hatukuzidiwa ktk mchezo bali makosa yetu wenyewe ndiyo yaliyotuadhibu.
Tusonge mbele kwa kuitazama mechi ijayo, ni mechi ya msingi zaidi na makosa hayapaswi kurudiwa nyumbani.
Hizo ndizo akili zetu Wanayanga, hatukati tamaa bali kusonga mbele daima.
Subiri Kwa Al ahly [emoji23]Hivi magoli 3 yote hayo hamkuweza hata kupiga kimoja cha kufutia machozi why iwe ni makosa madogo?
Mlisema Uto ndiyo kiboko yao waarabu [emoji23][emoji23]
Leo mnasema mlifungwa kwa makosa madogo madogo huo sio uchungu kweli wa kufungwa na vibonde wenu?
Msema kweli ni mpenzi wa maza.