Je, kwanini Yanga hawaumii na mechi waliyopoteza?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Leo nmepata muda wa kucheki marudio ya michezo walicheza hawa ma giant wa soka hapa east Africa....Simba na Yanga

But ingawa Yanga alipigwa 3_0 na Simba ku draw lkn mtandaoni imekuwa ni kama Simba ndiye aliyechezea kichapo Yanga wanaenjoy tu na uwanjani wamesema wataenda na huku wavaa kipwani pwani

NB Je inawezekana vipi kitu kama hiki waliofungwa Wana morali zaid ya walio draw
IMG-20231124-WA0002.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Nani kakwambia hawaumii? Ni vile tuu kujikaza kisabuni ili mabango yao yasichache...na ili yaendelee kuonekana relevant..yani wanajikaza ili ionekane bado Simba imefeli....
Hahhaa subiri soon tutaona kama mna furaha ya ukweli au ya kubumba...
 
Ngoja tuone kama full house haitatokea Kwa mkapa

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Leo nmepata muda wa kucheki marudio ya michezo walicheza hawa ma giant wa soka hapa east Africa....Simba na Yanga

But ingawa Yanga alipigwa 3_0 na Simba ku draw .....lkn mtandaoni imekuwa ni kama Simba ndiye aliyechezea kichapo .....Yanga wanaenjoy tu .....na uwanjani wamesema wataenda na huku wavaa kipwani pwani

NB Je inawezekana vipi kitu kama hiki.....waliofungwa Wana morali zaid ya walio drawView attachment 2828595

Bado wapo na ganzi watasikia maumivu baada ya mechi ya alhaly!
 
Kusema ukweli, tulifungwa kwa makosa madogo sana ambayo yanarekebishika, hatukuzidiwa ktk mchezo bali makosa yetu wenyewe ndiyo yaliyotuadhibu.

Tusonge mbele kwa kuitazama mechi ijayo, ni mechi ya msingi zaidi na makosa hayapaswi kurudiwa nyumbani.

Hizo ndizo akili zetu Wanayanga, hatukati tamaa bali kusonga mbele daima.
 
Kusema ukweli, tulifungwa kwa makosa madogo sana ambayo yanarekebishika
Hivi magoli 3 yote hayo hamkuweza hata kupiga kimoja cha kufutia machozi why iwe ni makosa madogo?

Mlisema Uto ndiyo kiboko yao waarabu 😂😂

Leo mnasema mlifungwa kwa makosa madogo madogo huo sio uchungu kweli wa kufungwa na vibonde wenu?

Msema kweli ni mpenzi wa maza.
 
Leo nmepata muda wa kucheki marudio ya michezo walicheza hawa ma giant wa soka hapa east Africa....Simba na Yanga

But ingawa Yanga alipigwa 3_0 na Simba ku draw .....lkn mtandaoni imekuwa ni kama Simba ndiye aliyechezea kichapo .....Yanga wanaenjoy tu .....na uwanjani wamesema wataenda na huku wavaa kipwani pwani

NB Je inawezekana vipi kitu kama hiki.....waliofungwa Wana morali zaid ya walio drawView attachment 2828595

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ni kujidanganya moyo kwa kudai aliyefungwa tatu kwa nunge ana furaha na aliyetoka sare amechukia.Huu uongo ni wa wajinga pekee.
 
Leo nmepata muda wa kucheki marudio ya michezo walicheza hawa ma giant wa soka hapa east Africa....Simba na Yanga

But ingawa Yanga alipigwa 3_0 na Simba ku draw .....lkn mtandaoni imekuwa ni kama Simba ndiye aliyechezea kichapo .....Yanga wanaenjoy tu .....na uwanjani wamesema wataenda na huku wavaa kipwani pwani

NB Je inawezekana vipi kitu kama hiki.....waliofungwa Wana morali zaid ya walio drawView attachment 2828595

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwasababu bado hawaamini kama wamemfunga Simba goli 5.

Kwahiyo bado wanaendelea na sherehe kwasababu kuifunga timu kama Simba wanaona ni miujiza.
 
Kusema ukweli, tulifungwa kwa makosa madogo sana ambayo yanarekebishika, hatukuzidiwa ktk mchezo bali makosa yetu wenyewe ndiyo yaliyotuadhibu.

Tusonge mbele kwa kuitazama mechi ijayo, ni mechi ya msingi zaidi na makosa hayapaswi kurudiwa nyumbani.

Hizo ndizo akili zetu Wanayanga, hatukati tamaa bali kusonga mbele daima.
Nakubaliana naww

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Hivi magoli 3 yote hayo hamkuweza hata kupiga kimoja cha kufutia machozi why iwe ni makosa madogo?

Mlisema Uto ndiyo kiboko yao waarabu [emoji23][emoji23]

Leo mnasema mlifungwa kwa makosa madogo madogo huo sio uchungu kweli wa kufungwa na vibonde wenu?

Msema kweli ni mpenzi wa maza.
Subiri Kwa Al ahly [emoji23]

Back
Top Bottom