Je, kwanini Yanga hawaumii na mechi waliyopoteza?

Angalia reaction za mashabiki wa pande mbili

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hayo mawazo ya kufikirika yapo kwenye nafsi za utopolo tu na ambao ni ujinga uliopea viwango.Mtu mmoja avunjwe miguu yote miwili na mkono mmoja umlinganishe na mwingine aliyeumwa na nyuki sikioni?Mpo sawa kwenye mbongo zenu ninyi?Luc Aimel hakukosea hata kidogo.
 
Nafurahi sana kuona mdada anapenda soka huwa namuona kama mshikaji wangu wa kiume
 
Kwa vile wameshafikia lengo lao walilojiwekea kuingia makundi.
 
Huyu alieumwa na nyuki sikioni kabla ya kuumwa na nyuki, alisagwasagwa kichwa na baadae akaumizwa na mkono.
Huoni tofauti hapo?
 
Huyu alieumwa na nyuki sikioni kabla ya kuumwa na nyuki, alisagwasagwa kichwa na baadae akaumizwa na mkono.
Huoni tofauti hapo?
Umejiengua na wale wawili wenye akili huko utopoloni.Asagwesagwe kichwa halafu awe hai?Ni wawili tu.Wewe haumo.
 
Umejiengua na wale wawili wenye akili huko utopoloni.Asagwesagwe kichwa halafu awe hai?Ni wawili tu.Wewe haumo.

Hujasikia stori ya kweli ya mtu asie na kichwa anaeonekana maeneo ya huko Zanzibar?

Achana na hiyo stori. Kuna sehemu nimeandika kuwa huyo aliesagwasagwa kichwa bado yu hai?
 
Hujasikia stori ya kweli ya mtu asie na kichwa anaeonekana maeneo ya huko Zanzibar?

Achana na hiyo stori. Kuna sehemu nimeandika kuwa huyo mtu aliesagwasagwa kichwa bado yu hai?
Ni kuhusu kusikia.Mumchukue mumuweke juu pale kidimbwini ghorofani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…