Je, kwanini Yanga hawaumii na mechi waliyopoteza?

Je, kwanini Yanga hawaumii na mechi waliyopoteza?

Angalia reaction za mashabiki wa pande mbili

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hayo mawazo ya kufikirika yapo kwenye nafsi za utopolo tu na ambao ni ujinga uliopea viwango.Mtu mmoja avunjwe miguu yote miwili na mkono mmoja umlinganishe na mwingine aliyeumwa na nyuki sikioni?Mpo sawa kwenye mbongo zenu ninyi?Luc Aimel hakukosea hata kidogo.
 
Kusema ukweli, tulifungwa kwa makosa madogo sana ambayo yanarekebishika, hatukuzidiwa ktk mchezo bali makosa yetu wenyewe ndiyo yaliyotuadhibu.

Tusonge mbele kwa kuitazama mechi ijayo, ni mechi ya msingi zaidi na makosa hayapaswi kurudiwa nyumbani.

Hizo ndizo akili zetu Wanayanga, hatukati tamaa bali kusonga mbele daima.
Nafurahi sana kuona mdada anapenda soka huwa namuona kama mshikaji wangu wa kiume
 
Leo nmepata muda wa kucheki marudio ya michezo walicheza hawa ma giant wa soka hapa east Africa....Simba na Yanga

But ingawa Yanga alipigwa 3_0 na Simba ku draw .....lkn mtandaoni imekuwa ni kama Simba ndiye aliyechezea kichapo .....Yanga wanaenjoy tu .....na uwanjani wamesema wataenda na huku wavaa kipwani pwani

NB Je inawezekana vipi kitu kama hiki.....waliofungwa Wana morali zaid ya walio drawView attachment 2828595

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwa vile wameshafikia lengo lao walilojiwekea kuingia makundi.
 
Hayo mawazo ya kufikirika yapo kwenye nafsi za utopolo tu na ambao ni ujinga uliopea viwango.Mtu mmoja avunjwe miguu yote miwili na mkono mmoja umlinganishe na mwingine aliyeumwa na nyuki sikioni?Mpo sawa kwenye mbongo zenu ninyi?Luc Aimel hakukosea hata kidogo.
Huyu alieumwa na nyuki sikioni kabla ya kuumwa na nyuki, alisagwasagwa kichwa na baadae akaumizwa na mkono.
Huoni tofauti hapo?
 
Huyu alieumwa na nyuki sikioni kabla ya kuumwa na nyuki, alisagwasagwa kichwa na baadae akaumizwa na mkono.
Huoni tofauti hapo?
Umejiengua na wale wawili wenye akili huko utopoloni.Asagwesagwe kichwa halafu awe hai?Ni wawili tu.Wewe haumo.
 
Umejiengua na wale wawili wenye akili huko utopoloni.Asagwesagwe kichwa halafu awe hai?Ni wawili tu.Wewe haumo.

Hujasikia stori ya kweli ya mtu asie na kichwa anaeonekana maeneo ya huko Zanzibar?

Achana na hiyo stori. Kuna sehemu nimeandika kuwa huyo aliesagwasagwa kichwa bado yu hai?
 
Hujasikia stori ya kweli ya mtu asie na kichwa anaeonekana maeneo ya huko Zanzibar?

Achana na hiyo stori. Kuna sehemu nimeandika kuwa huyo mtu aliesagwasagwa kichwa bado yu hai?
Ni kuhusu kusikia.Mumchukue mumuweke juu pale kidimbwini ghorofani.
 
Back
Top Bottom