Mtaji wa kias gani unahitajika kwa mtu anayetaka kuingia kwenye biashara hii bila ya kujaribujaribu
Naomba uje pm mkuu ntakupa ABCMtaji wa kias gani unahitajika kwa mtu anayetaka kuingia kwenye biashara hii bila ya kujaribujaribu
Gharama kubwa ni kupata eneo/ kiwanja Cha kujenga. Eneo liwe tambarare kupunguza gharama za kuujaza kufusi. Vibali vya ujenzi Unaanzia NEMC Hadi EWURA. Hapo lazima uwe na 10M to 20Million.Mtaji wa kias gani unahitajika kwa mtu anayetaka kuingia kwenye biashara hii bila ya kujaribujaribu
Mtaji umegawanyika sehemu mbili Kwa mtu anayeanza.Mtaji wa kias gani unahitajika kwa mtu anayetaka kuingia kwenye biashara hii bila ya kujaribujaribu
Umerahisisha ufafanuz mkuu, asante..Gharama kubwa ni kupata eneo/ kiwanja Cha kujenga . Eneo liwe tambarare kupunguza gharama za kuujaza kufusi,
Vibali vya ujenzi Unaanzia NEMC , Hadi EWURA. Hapo lazima uwe na 10M to 20Million.
Gharama za ujenzi zimegawanyika kulingana na ukubwa wa eneo Eg kujaza zege inaweza eneo la pump,
Inaweza fikka 10- 15mullioni, inategemea ukubwa wa kituo,
Gharama za Canopy / paa la kisasa linaanzia 30-60millioni, ila yapo ya kawaida unaweza Jenga Kwa 10-18millioni.
Gharama za kutengeneza matanki ya kuhifadhia Mafuta, Tanki mbili zenye ujazo wa Ltrs 35elfu ukinunua material mwenyewe na kumleta fundi site kwako ni 20millioni ,
Pump mbili za Mafuta zenye mikonga miwili / midomo miwili Kila upande mdomo Moja ni 34millioni Kwa zote.
Generator nzuri ya kuendesha kituo 5-8millioni,
Gharama za kujenga office, vyoo, vyumba vya kubadilishia nguo wafanyakazi ni 15millioni.
Gharama za kuchimba mashimo ya Tanki mawili, kutengeneza mfumo wa kutenganisha Maji na Mafuta , pamoja na kuchimba mfeteji wa kupitisha Mafuta 3millioni
Gharama za pipe za kutoka kwenye matanki Hadi kwenye pump ni 1.5nillioni.
Gharama za kufunga. Mfumo wa umeme ni 3-6millioni.
NB: hizi ni gharama Kwa kituo standard , ila kama ukiamua kubana Kwa maeneo ya vinijini unaweza punguza gharama kidogo
Faida ya Mafuta ni zaidi ya Tshs 120 Kwa Ltrs , hapo Bado hujampata punguzo kwenye manunuzi , inaweza pewa punguzo kuanzia Tshs 30 Hadi 50 Kwa Ltrs.Umerahisisha ufafanuz mkuu, asante..
Unaweza nielezea kwenye faida inavyopatikana
Nakuomba pm.Faida ya Mafuta ni zaidi ya Tshs 120 Kwa Ltrs , hapo Bado hujampata punguzo kwenye manunuzi , inaweza pewa punguzo kuanzia Tshs 30 Hadi 50 Kwa Ltrs.
Fanya umepata Faida Kwa Kila Ltrs Tshs 120.
Chukulia mauzo yako ni Ltrs laki mbili Kwa mwezi , Kwa siku wastani wa Ltrs 6800. Unazidisha lites 200,000 mara Tshs 120 = 24,000,000/.
Umeme ,wa Tsh 250,000/
Wafanyakazi manager/ supervisor laki Tano.
Pump attendant 4 mara 200,000= 800,000/
Walinzi wawili =300,000/
Mtu wa usafi chooni na mazingira mengine 150,000/
TRA / Halimashauri service levy Haezidi 1,000,00. Kwa miezi mitatu
Lile punguzo unalipewa kule Kwa wauzaji wa jumla na wewe una wapa wateja wako Eli uongeze mauzo.
NB; Faida ipo kwenye mauzo, unapouza zaidi ndio unapata Faida kubwa, lazima uwe sales oriented person, lazima u focus kwenye kuongeza mauzo.
Ukipata location nzuri na team nzuri ya wafanyakazi unaweza uza more than 10,000 Ltrs per day Ukienda Kwa mwezi ni more than 300,000 Ltrs wewe unazidisha na margin profit yako
KaribuNakuomba pm.
NimefunguaUmefunga.
Bei za kununulia Mafuta Depot Kwa wauzaji wa jumla bandari ya Dar es salaamUmerahisisha ufafanuz mkuu, asante..
Unaweza nielezea kwenye faida inavyopatikana
Kuna sehem hawa wenye shell za meru wamemuhamisha mtu alikuwa road kwa mil 800 cash aise na eneo ni la kawaida sema ni potential kwa business ya shell just imagine mtu ananunua eneo tu kwa mil 800 bado hajaanza construction na mambo mengine so mtaji ni mrefu mnoGharama kubwa ni kupata eneo/ kiwanja Cha kujenga . Eneo liwe tambarare kupunguza gharama za kuujaza kufusi,
Vibali vya ujenzi Unaanzia NEMC , Hadi EWURA. Hapo lazima uwe na 10M to 20Million.
Gharama za ujenzi zimegawanyika kulingana na ukubwa wa eneo Eg kujaza zege inaweza eneo la pump,
Inaweza fikka 10- 15mullioni, inategemea ukubwa wa kituo,
Gharama za Canopy / paa la kisasa linaanzia 30-60millioni, ila yapo ya kawaida unaweza Jenga Kwa 10-18millioni.
Gharama za kutengeneza matanki ya kuhifadhia Mafuta, Tanki mbili zenye ujazo wa Ltrs 35elfu ukinunua material mwenyewe na kumleta fundi site kwako ni 20millioni ,
Pump mbili za Mafuta zenye mikonga miwili / midomo miwili Kila upande mdomo Moja ni 34millioni Kwa zote.
Generator nzuri ya kuendesha kituo 5-8millioni,
Gharama za kujenga office, vyoo, vyumba vya kubadilishia nguo wafanyakazi ni 15millioni.
Gharama za kuchimba mashimo ya Tanki mawili, kutengeneza mfumo wa kutenganisha Maji na Mafuta , pamoja na kuchimba mfeteji wa kupitisha Mafuta 3millioni
Gharama za pipe za kutoka kwenye matanki Hadi kwenye pump ni 1.5nillioni.
Gharama za kufunga. Mfumo wa umeme ni 3-6millioni.
NB: hizi ni gharama Kwa kituo standard , ila kama ukiamua kubana Kwa maeneo ya vinijini unaweza punguza gharama kidogo
Meru, Olympic, Petroafrica, ATN, ADMIRE, GUDAL, Lake oil, Camel, GBP, Rawakal, Panone, ,Hao ni wakubwa kwenye Hii industry hata maeneo wanayonunuwa ni kwaajili ya uzaji mkubwa, Wana oder za Malori ya teansit, Malori ya local, Mabasi, minara ya simu, Mashirika mbalimbali , migodibi na ma contractors wa barabara, majengo.Kuna sehem hawa wenye shell za meru wamemuhamisha mtu alikuwa road kwa mil 800 cash aise na eneo ni la kawaida sema ni potential kwa business ya shell just imagine mtu ananunua eneo tu kwa mil 800 bado hajaanza construction na mambo mengine so mtaji ni mrefu mno
Hizi gharama ulizotaja unatakiwa uzidishe mara 3 au 4Gharama kubwa ni kupata eneo/ kiwanja Cha kujenga . Eneo liwe tambarare kupunguza gharama za kuujaza kufusi,
Vibali vya ujenzi Unaanzia NEMC , Hadi EWURA. Hapo lazima uwe na 10M to 20Million.
Gharama za ujenzi zimegawanyika kulingana na ukubwa wa eneo Eg kujaza zege inaweza eneo la pump,
Inaweza fikka 10- 15mullioni, inategemea ukubwa wa kituo,
Gharama za Canopy / paa la kisasa linaanzia 30-60millioni, ila yapo ya kawaida unaweza Jenga Kwa 10-18millioni.
Gharama za kutengeneza matanki ya kuhifadhia Mafuta, Tanki mbili zenye ujazo wa Ltrs 35elfu ukinunua material mwenyewe na kumleta fundi site kwako ni 20millioni ,
Pump mbili za Mafuta zenye mikonga miwili / midomo miwili Kila upande mdomo Moja ni 34millioni Kwa zote.
Generator nzuri ya kuendesha kituo 5-8millioni,
Gharama za kujenga office, vyoo, vyumba vya kubadilishia nguo wafanyakazi ni 15millioni.
Gharama za kuchimba mashimo ya Tanki mawili, kutengeneza mfumo wa kutenganisha Maji na Mafuta , pamoja na kuchimba mfeteji wa kupitisha Mafuta 3millioni
Gharama za pipe za kutoka kwenye matanki Hadi kwenye pump ni 1.5nillioni.
Gharama za kufunga. Mfumo wa umeme ni 3-6millioni.
NB: hizi ni gharama Kwa kituo standard , ila kama ukiamua kubana Kwa maeneo ya vinijini unaweza punguza gharama kidogo
Kuna aina mbili za vituo vya mafutaHizi gharama ulizotaja unatakiwa uzidishe mara 3 au 4
Hizi gharama ulizotaja unatakiwa uzidishe mara 3 au 4
Hizi ni story za wenye vituo vya mafuta kuwakatisha tamaa watu wanaotoka kuanzisha Hii business. Nina uhakika ukiwa na hicho kiasi unajenga filling station.
Mkuu sorry ukisema wahusika unamanisha Washika dau?uzi umechangiwa vizuri sana japo sijui wachangiaji ni wahusika kwenye secta au wapiga porojo...