TensorFlow
JF-Expert Member
- Feb 11, 2020
- 993
- 1,286
Hii biashara siku moja nitaifungua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BP ni Waingereza wapo mpaka leo na PUMA ni Wa Swiss kampuni mbili tofauti.Kwa wale waliopo Dar es salaam mnaweza kufanya Hii hesabu mkatusadia vizuri
BP walikuja kyuzwa na Sasa inaitwa PUMA, nimeona Oryx / Total amechukuwa vituo vingi vya Oil com mikoani.
Na wao wakicgukuwa wanampa mtu aendeshe ila sharti lazima ununue Mafuta kwao ya jumla na Faida wao wanachukuwa sehemu kubwa, wewe unakuwa kama mfanyakazi wao, Kwa mtaji wako.
Kwenye Faida wanatoa gharama zao za ujenzi plus Faida mnagawana
Fuatilia Kwa hapa Tanzania vituo vyote vya BP vimechukuliwa na PUMA, hata Depoti Yao kurasini inatumiwa na puma.BP ni Waingereza wapo mpaka leo na PUMA ni Wa Swiss kampuni mbili tofauti.
Watakua wameuziana BP Hawapo tena nchini kwenye uwekezaji wa mafuta na vituo vya MafutaFuatilia Kwa hapa Tanzania vituo vyote vya BP vimechukuliwa na PUMA, hata Depoti Yao kurasini inatumiwa na puma.
Kuna GBP piya majina yanaweza kuwa yanafanana Kwa mbali na rangi zao piya ni kijani hao GBP
Tulipo Anza kuweka sheria nyingi , mfano uagizaji wa jumla, watu kuchakachua Mafuta ya petrol, disiel kuweka kerosine ambayo Bei yake ilikuwa chini hapo nyuma kidogo.Watakua wameuziana BP Hawapo tena nchini kwenye uwekezaji wa mafuta na vituo vya Mafuta
Wale wanaoweka ATM mashine wanakodishiwa ka eneo kama kachumba kadogo , Kwa Bei kubwa sana, Hiyo ni deal kati ya watu waBank na mwenye kituo Cha Mafuta.Safi! Sana mtoa mada, kuna nyingine ile ya benki wanapo weka Atm machine sehemu flani sijui hii biashara faida yake wajuvi watupe abc
Shida ni moja unakuta unajenga kituo cha mafuta pembezoni mwa mji halafu ghafla anakuja mwingine anaenda kujenga mbele zaidi unajikuta umewekwa katiWale wanaoweka ATM mashine wanakodishiwa ka eneo kama kachumba kadogo , Kwa Bei kubwa sana, Hiyo ni deal kati ya watu waBank na mwenye kituo Cha Mafuta.
Unaweza kulipwa Kodi sawa na apartment za Upanga ama Kariakoo. Tena Kodi ya miaka miwili ama mitatu ,
Unajenga kituo ukishafabya feasibility study na unaweka assumption zote ikitokea mtu amejenga utatumia strategy zipi kupambana nae,Shida ni moja unakuta unajenga kituo cha mafuta pembezoni mwa mji halafu ghafla anakuja mwingine anaenda kujenga mbele zaidi unajikuta umewekwa kati
Toa hapa ili tufaidike wengi.Naomba uje pm mkuu ntakupa ABC
Mkuu ni namba ya simu ya jamaa anayemiliki sheli za Petro Africa hivyo sio sahihi kushare hapa maana naimani akionana na muhusika kabisa Ana we za msaidia Kwa ukubwa.Toa hapa ili tufaidike wengi.
#YNWA
NB; angalizi hamna mtu mwenye kituo Cha Mafuta atakupa details kirahisi rahisi , Tena huyo uliyemtaja atakupeleka kigogo alipo Jenga kituo chake Kwa more than billion TSHS wewe pambana mwenyewe kusimama, hakuna tajiri wa Mafuta anayetaka Industry Yao waongezeke watu wapyaMkuu ni namba ya simu ya jamaa anayemiliki sheli za Petro Africa hivyo sio sahihi kushare hapa maana naimani akionana na muhusika kabisa Ana we za msaidia Kwa ukubwa.
NB; angalizi hamna mtu mwenye kituo Cha Mafuta atakupa details kirahisi rahisi , Tena huyo uliyemtaja atakupeleka kigogo alipo Jenga kituo chake Kwa more than billion TSHS wewe pambana mwenyewe kusimama, hakuna tajiri wa Mafuta anayetaka Industry Yao waongezeke watu wapya
Hapo jumla ni kama Shilingi Milioni 170 so Maximum 200 Mil.Gharama kubwa ni kupata eneo/ kiwanja Cha kujenga. Eneo liwe tambarare kupunguza gharama za kuujaza kufusi. Vibali vya ujenzi Unaanzia NEMC Hadi EWURA. Hapo lazima uwe na 10M to 20Million.
Gharama za ujenzi zimegawanyika kulingana na ukubwa wa eneo Eg. Kujaza zege inaweza eneo la pump,
Inaweza fika 10- 15 millioni, inategemea ukubwa wa kituo.
Gharama za Canopy / paa la kisasa linaanzia 30-60millioni, ila yapo ya kawaida unaweza Jenga Kwa 10-18 millioni.
Gharama za kutengeneza matanki ya kuhifadhia Mafuta, Tanki mbili zenye ujazo wa Ltrs 35elfu ukinunua material mwenyewe na kumleta fundi site kwako ni 20millioni.
Pump mbili za Mafuta zenye mikonga miwili / midomo miwili Kila upande mdomo, moja ni 34 millioni Kwa zote.
Generator nzuri ya kuendesha kituo 5-8millioni.
Gharama za kujenga office, vyoo, vyumba vya kubadilishia nguo wafanyakazi ni 15millioni. Gharama za kuchimba mashimo ya Tanki mawili, kutengeneza mfumo wa kutenganisha Maji na Mafuta, pamoja na kuchimba mfereji wa kupitisha Mafuta 3 millioni.
Gharama za pipe za kutoka kwenye matanki Hadi kwenye pump ni 1.5 millioni. Gharama za kufunga. Mfumo wa umeme ni 3-6millioni.
NB: Hizi ni gharama Kwa kituo standard, ila kama ukiamua kubana kwa maeneo ya vijijini unaweza punguza gharama kidogo.
Kuna vituo vya mafuta hutoa 'Bonus' ya fedha kwa Mwezi kutokana na manunuzi yako. Mfano kuna wakati nilikuwa napata hadi Sh ef 50 kwa Mwezi kituo cha Petrol Africa. Wanakokotoa vipi hii hesabu? Au unajiibia mwenyewe mteja kwenye kiwango cha mafuta unachonunua?Faida ya Mafuta ni zaidi ya Tshs 120 Kwa Ltrs , hapo Bado hujampata punguzo kwenye manunuzi , inaweza pewa punguzo kuanzia Tshs 30 Hadi 50 Kwa Ltrs.
Fanya umepata Faida Kwa Kila Ltrs Tshs 120.
Chukulia mauzo yako ni Ltrs laki mbili Kwa mwezi , Kwa siku wastani wa Ltrs 6800. Unazidisha lites 200,000 mara Tshs 120 = 24,000,000/.
Umeme ,wa Tsh 250,000/
Wafanyakazi manager/ supervisor laki Tano.
Pump attendant 4 mara 200,000= 800,000/
Walinzi wawili =300,000/
Mtu wa usafi chooni na mazingira mengine 150,000/
TRA / Halimashauri service levy Haezidi 1,000,00. Kwa miezi mitatu
Lile punguzo unalipewa kule Kwa wauzaji wa jumla na wewe una wapa wateja wako Eli uongeze mauzo.
NB; Faida ipo kwenye mauzo, unapouza zaidi ndio unapata Faida kubwa, lazima uwe sales oriented person, lazima u focus kwenye kuongeza mauzo.
Ukipata location nzuri na team nzuri ya wafanyakazi unaweza uza more than 10,000 Ltrs per day Ukienda Kwa mwezi ni more than 300,000 Ltrs wewe unazidisha na margin profit yako
Revenue 24,000,000/-Faida ya Mafuta ni zaidi ya Tshs 120 Kwa Ltrs , hapo Bado hujampata punguzo kwenye manunuzi , inaweza pewa punguzo kuanzia Tshs 30 Hadi 50 Kwa Ltrs.
Fanya umepata Faida Kwa Kila Ltrs Tshs 120.
Chukulia mauzo yako ni Ltrs laki mbili Kwa mwezi , Kwa siku wastani wa Ltrs 6800. Unazidisha lites 200,000 mara Tshs 120 = 24,000,000/.
Umeme ,wa Tsh 250,000/
Wafanyakazi manager/ supervisor laki Tano.
Pump attendant 4 mara 200,000= 800,000/
Walinzi wawili =300,000/
Mtu wa usafi chooni na mazingira mengine 150,000/
TRA / Halimashauri service levy Haezidi 1,000,00. Kwa miezi mitatu
Lile punguzo unalipewa kule Kwa wauzaji wa jumla na wewe una wapa wateja wako Eli uongeze mauzo.
NB; Faida ipo kwenye mauzo, unapouza zaidi ndio unapata Faida kubwa, lazima uwe sales oriented person, lazima u focus kwenye kuongeza mauzo.
Ukipata location nzuri na team nzuri ya wafanyakazi unaweza uza more than 10,000 Ltrs per day Ukienda Kwa mwezi ni more than 300,000 Ltrs wewe unazidisha na margin profit yako
Why?Ila kama una mtaji wa chini ya 250m sikushauri ufanye biashara ya mafuta bro
Anakupigia sehabu lita ulizoweka,mfano kila lita ule shilingi 5 au 10Kuna vituo vya mafuta hutoa 'Bonus' ya fedha kwa Mwezi kutokana na manunuzi yako. Mfano kuna wakati nilikuwa napata hadi Sh ef 50 kwa Mwezi kituo cha Petrol Africa. Wanakokotoa vipi hii hesabu? Au unajiibia mwenyewe mteja kwenye kiwango cha mafuta unachonunua?
Inawezikana nikawa namjua kuliko wewe unavyomfahamu, Kwa Sasa yeye hausiki na biashara , Kwa Sasa Kuna general manager na finance manager sister wake ndio Kila kitu pale head office, yeye muda mwingi yupo kwenye ranch yake Mkoani Arusha na kwenye familia yake Nairobi, Dar ni kw uchache.Acha kukariri sio kila MTU Ana fikra duni huyo jamaa namjua vizuri