Je, kwenye Biashara hizi uendeshaji na faida vinapatikanaje?

BP ni Waingereza wapo mpaka leo na PUMA ni Wa Swiss kampuni mbili tofauti.
 
BP ni Waingereza wapo mpaka leo na PUMA ni Wa Swiss kampuni mbili tofauti.
Fuatilia Kwa hapa Tanzania vituo vyote vya BP vimechukuliwa na PUMA, hata Depoti Yao kurasini inatumiwa na puma.
Kuna GBP piya majina yanaweza kuwa yanafanana Kwa mbali na rangi zao piya ni kijani hao GBP
 
Watakua wameuziana BP Hawapo tena nchini kwenye uwekezaji wa mafuta na vituo vya Mafuta
 
Watakua wameuziana BP Hawapo tena nchini kwenye uwekezaji wa mafuta na vituo vya Mafuta
Tulipo Anza kuweka sheria nyingi , mfano uagizaji wa jumla, watu kuchakachua Mafuta ya petrol, disiel kuweka kerosine ambayo Bei yake ilikuwa chini hapo nyuma kidogo.
 
Safi! Sana mtoa mada, kuna nyingine ile ya benki wanapo weka Atm machine sehemu flani sijui hii biashara faida yake wajuvi watupe abc
 
Safi! Sana mtoa mada, kuna nyingine ile ya benki wanapo weka Atm machine sehemu flani sijui hii biashara faida yake wajuvi watupe abc
Wale wanaoweka ATM mashine wanakodishiwa ka eneo kama kachumba kadogo , Kwa Bei kubwa sana, Hiyo ni deal kati ya watu waBank na mwenye kituo Cha Mafuta.
Unaweza kulipwa Kodi sawa na apartment za Upanga ama Kariakoo. Tena Kodi ya miaka miwili ama mitatu ,
 
Shida ni moja unakuta unajenga kituo cha mafuta pembezoni mwa mji halafu ghafla anakuja mwingine anaenda kujenga mbele zaidi unajikuta umewekwa kati
 
Shida ni moja unakuta unajenga kituo cha mafuta pembezoni mwa mji halafu ghafla anakuja mwingine anaenda kujenga mbele zaidi unajikuta umewekwa kati
Unajenga kituo ukishafabya feasibility study na unaweka assumption zote ikitokea mtu amejenga utatumia strategy zipi kupambana nae,
Kaa ukijua ukiweka kwenye site nzuri ikawa unauza sana ndani ya mwaka Moja Hadi miwili utapata ushindani sana, lazima watu wengine wajee kujenga hayo maeneo yako. Cha msingi ni kuwa na mbinu mbadala za kupambana mwanzo mwisho.
 
Mkuu ni namba ya simu ya jamaa anayemiliki sheli za Petro Africa hivyo sio sahihi kushare hapa maana naimani akionana na muhusika kabisa Ana we za msaidia Kwa ukubwa.
NB; angalizi hamna mtu mwenye kituo Cha Mafuta atakupa details kirahisi rahisi , Tena huyo uliyemtaja atakupeleka kigogo alipo Jenga kituo chake Kwa more than billion TSHS wewe pambana mwenyewe kusimama, hakuna tajiri wa Mafuta anayetaka Industry Yao waongezeke watu wapya
 
Acha kukariri sio kila MTU Ana fikra duni huyo jamaa namjua vizuri
 
Hapo jumla ni kama Shilingi Milioni 170 so Maximum 200 Mil.

Kuna mtu aliwahi niambia kuwa Kuna Deposit EWURA ya Shilingi Bilioni Moja, ni kweli hili?
 
Kuna vituo vya mafuta hutoa 'Bonus' ya fedha kwa Mwezi kutokana na manunuzi yako. Mfano kuna wakati nilikuwa napata hadi Sh ef 50 kwa Mwezi kituo cha Petrol Africa. Wanakokotoa vipi hii hesabu? Au unajiibia mwenyewe mteja kwenye kiwango cha mafuta unachonunua?
 
Revenue 24,000,000/-
Running Costs 2,350,000/-
Gross Profit 21,650,000/-

Faida kubwa sana.
 
Anakupigia sehabu lita ulizoweka,mfano kila lita ule shilingi 5 au 10
 
Acha kukariri sio kila MTU Ana fikra duni huyo jamaa namjua vizuri
Inawezikana nikawa namjua kuliko wewe unavyomfahamu, Kwa Sasa yeye hausiki na biashara , Kwa Sasa Kuna general manager na finance manager sister wake ndio Kila kitu pale head office, yeye muda mwingi yupo kwenye ranch yake Mkoani Arusha na kwenye familia yake Nairobi, Dar ni kw uchache.
Mara nyingi anakuwepo mtaani sana ni yule mdogo wake anayehusika na ujenzi. Ndio maarufu watu wanamjya, ila Mwenye kampuni ni mtu mkimiya sana na hapebdi kunichanganya sana na watu , yeye akiwepo no ofsini ama home kwake tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…