Je, kwenye ulimwengu hali ya utupu inawezekana?

Siyo... vacuum is the space which is no any kind of matter....not any kind of energy...hivyo kutengeneza vacuum hakuna shida yoyote kwasababu ya (not, any kind of energy)
 
Swali lako na fikira zako ni potovu..
Kwa sababu ujui vacuum is about (E-matter) not (E-energy)..
THREAD CLOSE....💥💥
 
Swali lako na fikira zako ni potovu..
Kwa sababu ujui vacuum is about (E-matter) not (E-energy)..
THREAD CLOSE....💥💥
Mwamposa unatuangusha waumini wako🤣.....tumesoma kidogo ujue
 
Mwamposa unatuangusha waumini wako🤣.....tumesoma kidogo ujue
Utakuwa wewe ni msomi wa UDSM ndiyo maana akili imefubaa kama walimu wenu walivyo fubaa akili 😁😁😁 haya nielimishe nijue wapi nimekosea ?
 
Mada yangu haichokozi kuhusu uwezo wa binadamu kwenye Kutengeneza utupu (vacuum), mada yangu inajikita zaidi kama ulimwengu unaruhusu hali ya utupu kuweza kufanyika!, hapa namaanisha utupu ambao ni asilimia mia moja!.
Utupu ulio rahisi zaidi kuundwa ni ule utupu wa kimahesabu. Wenyewe ni simple tu unachukua vitu positive kama vitatu, unaweka sehemu na vitu negative vitatu pia. Na hiki ndicho kinachofanyika mara nyingi unaweka matter na antimater baaaam ni utupu

Matokeo yake kimahesabu ndio unaita utupu. Lakini UTUPU kama UTUPU asee ni kazi sana kuwepo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…