Je, kwenye ulimwengu hali ya utupu inawezekana?

Je, kwenye ulimwengu hali ya utupu inawezekana?

ukiweza kutengeneza emptyness maana yake weae ni Mungu, yaani creator.

yes we can be gods, but being a God? damn, thats a lot of sacrifice only few are...

Vacuum(utupu) ni nini?
Vacuum(utupu)> ni hali pasipo kitu,nafasi pasipo maada. Yaani nafasi tupu ambapo hakuna kitu chochote,hakuna maada,hakuna hewa,hakuna gesi.

Ili tutengeneze vacuum(utupu) inabidi tuondoe kila kitu(maada,air,gas n.k) pasiwepo na kitu.

Je binadamu anaweza kutengene a perfect vacuum jibu ni hapana. Kwasababu quantum theory ina dictate kwamba energy fluactuations inayojulikana kama virtual particles constantly huwa zin pop in and out of existance,hata kwenye empty space.
na naposema few simaanishi binadamu, namaanisha Mungu...
 
ukiweza kutengeneza emptyness maana yake weae ni Mungu, yaani creator.

yes we can be gods, but being a God? damn, thats a lot of sacrifice only few are...

na naposema few simaanishi binadamu, namaanisha Mungu...
Mh! kauli zako zinautata!
 
Back
Top Bottom