Je, Leicester City ndio mabingwa wapya Ligi kuu Uingereza?

Hao ndo mabigwa wapya wa msimu huu kila La heri kwao
 
Dah! Kwa hiyo sisi tuko poa ila timu zingine kubwa haziko poa kwa mfano Manutd ila tumewaacha point tano tu?? Basi hatuna timu.
 
hakuna kitu kama hicho , inategemea wamemleta kocha gani , assume tumemlta Antonio conte au diego simeone , ww unafikiri tutapotea ?
Manchester imemleta van gaal nadhani unajua kinachotokea..
 
Inawezekana kabisa wakawa mabingwa endapo Wenger ataharibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…