Je, Leicester City ndio mabingwa wapya Ligi kuu Uingereza?

Je, Leicester City ndio mabingwa wapya Ligi kuu Uingereza?

Hao ndo mabigwa wapya wa msimu huu kila La heri kwao
 
Kwa sababu team kubwa karibia zote zinafanya vibaya sana ila Arsenal yetu ndo inaperform vizuri! Labda nikukumbushe hii Epl ilianza huu mtindo wa Top four(ngumu) mwaka 2004 na tangu hapo Wenger amegeuka fala flan! Kimsingi naamini Wenger hawez competition kabisa! Labda akafundishe Madrid ili Barca akiwa mbovu anachukua ndoo na ndicho alichokiwa akikifanya huko nyuma! Yeye na Man ndo walikuwa wababe wa Epl hivyo Man alipokosa basi alipata yeye tofauti na sasa! I dont trust Wenger anymore na am sure tutakuwa no 4 msimu huu! Tunza coment yangu
Dah! Kwa hiyo sisi tuko poa ila timu zingine kubwa haziko poa kwa mfano Manutd ila tumewaacha point tano tu?? Basi hatuna timu.
 
hakuna kitu kama hicho , inategemea wamemleta kocha gani , assume tumemlta Antonio conte au diego simeone , ww unafikiri tutapotea ?
Manchester imemleta van gaal nadhani unajua kinachotokea..
 
Inawezekana kabisa wakawa mabingwa endapo Wenger ataharibu
 
Back
Top Bottom