Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah! Kwa hiyo sisi tuko poa ila timu zingine kubwa haziko poa kwa mfano Manutd ila tumewaacha point tano tu?? Basi hatuna timu.Kwa sababu team kubwa karibia zote zinafanya vibaya sana ila Arsenal yetu ndo inaperform vizuri! Labda nikukumbushe hii Epl ilianza huu mtindo wa Top four(ngumu) mwaka 2004 na tangu hapo Wenger amegeuka fala flan! Kimsingi naamini Wenger hawez competition kabisa! Labda akafundishe Madrid ili Barca akiwa mbovu anachukua ndoo na ndicho alichokiwa akikifanya huko nyuma! Yeye na Man ndo walikuwa wababe wa Epl hivyo Man alipokosa basi alipata yeye tofauti na sasa! I dont trust Wenger anymore na am sure tutakuwa no 4 msimu huu! Tunza coment yangu
Manchester imemleta van gaal nadhani unajua kinachotokea..hakuna kitu kama hicho , inategemea wamemleta kocha gani , assume tumemlta Antonio conte au diego simeone , ww unafikiri tutapotea ?
Big 4 zote mbovu msimu huu....kimzahamzaha Leicester atabeba ndoo na km akishinwa basi TOP 4 lazima awepoHakuna mjadala leicst ndio mabingwa
hata mkimleta Nanihakuna kitu kama hicho , inategemea wamemleta kocha gani , assume tumemlta Antonio conte au diego simeone , ww unafikiri tutapotea ?
I wish them goodluckWapo nafasi Nzuri five points clear and thirteen games to go seven of those games at home . Game ngumu ni against arsenal na Chelsea ambazo pia wanaweza kushinda
but foxes bring in ranieri , u see what is happening ?Manchester imemleta van gaal nadhani unajua kinachotokea..