WilsonKaisary
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 392
- 954
Leo Rais Magufuli anavunja bunge, je urais wake na madaraka yake ya urais ya miaka mitano yanakoma?
Turejee kwenye katiba yetu ya Jamhuri wa muungano.
Ibara ya 38.
Inaeleza wazi namna ya kiti cha Urais kitavyohesabika kiko wazi, kitahesabika wazi kwa namna zilizoelezwa na kutambulika kikatiba.
Moja wa sababu hii endapo Rais atapovunja bunge.
<<<Sheria ya 1992 Na.20 ib.5 Sheria ya 1994 Na.34 ib.
Ibara ya 38.
(2) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, kiti cha Rais kitakuwa ki wazi, na uchaguzi wa Rais utafanyika au nafasi hiyo itajazwa vinginevyo kwa mujibu wa Katiba hii, kadri itakavyokuwa, kila mara litokeapo lolote kati ya mambo yafuatayo:-
(a) baada ya Bunge kuvunjwa; >>>
Kiti cha urais ni nini?
Na baada ya Rais kuvunja bunge, serikali hubaki mwa kiongozi gani? Na kwa sheria ipi.?
Kwa nchi Kama Burundi, acting president huteuliwa mwaka ule bunge linapokadiriwa kuvunjwa. Spika wa Burundi ndie aliyestahili kuwa Acting President endapo Pierre Nkurunzinza asingefariki na endapo mshindi wa uraisi asingepatikana.
Kwetu inabidi tuhoji Kama endapo Rais wa jamhuri wa muungano atavunja bunge, Nani huwa acting president? Na kwa ibara zipi za kisheria? Na ukubwa wa madaraka yake yakoje?
Na bunge likivunjwa, manaake wabunge hati zao za ubunge zimepotea wanapaswa kurudi majimboni kuomba kura. Vipi hapa Kati Labda vita ikatokea haswa baada ya bunge kuvunjwa, ikaonekana bunge linahitajika kupitisha bajeti au baadhi ya sheria za kiusalama. Litatumika bunge lipi?
Na kwa mujibu wa ibara ya 38 ina hesabu namna kiti Cha Urais kinavyo hesabika Kiko wazi.
Tuisome ibara 42.
kuchunguza kuchaguliwa kwake. Wakati na muda wa kushika madaraka ya Rais Sheria ya 1984 Na.15 ib.9
(2) Isipokuwa kama atajiuzulu au atafariki mapema zaidi mtu aliyechaguliwa kuwa Rais, bila ya kuathiri masharti yaliyo katika ibara ndogo ya (3), atashika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitano tangu siku alipochaguliwa kuwa Rais.
(3) Mtu aliyechaguliwa kuwa Rais atashika kiti cha Rais hadi-
(a) siku ambapo mtu atakayemfuatia katika kushika kiti hicho atakula kiapo cha Rais; au
(b) siku ambapo atafariki dunia akiwa katika madaraka; au
(c) siku atakapojiuzulu; au
(d) atakapoacha kushika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya Katiba hii.
Hii ibara inafanunua masharti ya kiti Cha Urais.
Sasa je ibara 38 (2a) na hii 42 (3) zinawekwaje kwenye ufanisi wa kazi? Au zinatafsiriwa vipi au zinakidhana?
Kwa kutumia ibara ya 38(2a), JPM anakuwa Hana madaraka ya uraisi au kiti Cha uraisi kinakuwa wazi kuruhusu wagombea wengine?
Au uraisi na kiti Cha uraisi vinatafsri tofauti?
Na JPM akivunja bunge atakuwa na madaraka ya Urais?