Je, leo baada ya rais Kulivunja bunge, John Magufuli Urais wake unakoma?

Adjustments.JPG
 
Hapana Kuna tofauti Kati ya uraisi na kiti Cha uraisi, kiti Cha uraisi Ni yale mamlaka ya uraisi na uraisi Ni title. JPM atabaki na title ila hatokuwa na authority ya uraisi.
Hana aithority maana yake nchi haina rais, sio CinC pia. Kitu ambacho sio kweli.
 
Title ya uraisi sawa, je authority ya uraisi anakuwa Hana.
Ibara ya 38
(2) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, kiti cha Rais kitakuwa ki wazi, na uchaguzi wa Rais utafanyika au nafasi hiyo itajazwa vinginevyo kwa mujibu wa Katiba hii, kadri itakavyokuwa, kila mara litokeapo lolote kati ya mambo yafuatayo:-
(a) baada ya Bunge kuvunjwa;
Authority maana yake nini? Unataka kuniambia ikitokea vita sasa hivi rais hana mamlaka ya kutangaza hali ya vita na kuamrisha jeshi liingie kupambana vitani? As long as bado ndiye mkuu wa serikali, anayo AUTHORITY kubwa tu kama ya jana.
 
Ibara ya 42 ikupe jibu
(4) Iwapo Jamhuri ya Muungano inapigana vita dhidi ya adui na Rais anaona kuwa haiwezekani kufanya uchaguzi, Bunge laweza mara kwa mara kupitisha azimio la kuongeza muda wa miaka mitano uliotajwa katika ibara ndogo ya (2) ya ibara hii isipokuwa kwamba muda wowote utakaoongezwa kila mara hautazidi miezi sita.

Kwa ibara hiyo na kifungu hiki, bunge gani litamuongozea muda wakati ?Kama bunge limevunjwa na tufanye mfano Vita ikatokea mwezi wa nane.
 
Pia katiba inasema rais atakaa kipindi cha miaka mitano, ceteris peribus! Miaka mitano kamili haijafika!.
 
Basi katiba nayo inadanganya.
Rais hukaa madarakani miaka 5 ndipo uchaguzi hufanyika na anayefuata hukabidhiwa na aliyepo madarakani, Sasa jiulize mpaka mda huu jpm kafikisha miaka mi5?

Kama unadhani Kiti Cha urais Kiko wazi Nani atakuwa amirijeshi mkuu kwa Sasa?
 
Kwani wabunge wamefikisha miaka 5 ?
 
Rais hukaa madarakani miaka 5 ndipo uchaguzi hufanyika na anayefuata hukabidhiwa na aliyepo madarakani, Sasa jiulize mpaka mda huu jpm kafikisha miaka mi5?

Kama unadhani Kiti Cha urais Kiko wazi Nani atakuwa amirijeshi mkuu kwa Sasa?
Ndio mapungufu ya katiba yetu, Burundi katiba yao imeanisha bunge likivunjwa spika huwa acting president, ndio maana hata Paschal Nyabenda akateuliwa kuwa Acting President mnamo April/2020 mpaka raisi mpya atapopatikana. Lakini baada ya Pierre Nkurunzinza kufariki, na raisi ajae amepatikana kukawa hamna sababu ya kuendelea kuwa na acting president ndio kuamua beans Evariste Ndayishimiye aapishwe tu kabla ya mwezi wa nane. Maana yule raisi ambaye alikuwa amalizie mhuhula wake amefariki, hamna sababu kuendelea kusubiri mwezi wa nane.
 
Wakati na muda
wakushika
madaraka ya
Rais
Sheriaya1984
Na.15ib.9
42.

-(1)Rais mteule atashika madaraka ya Rais mapema
iwezekanavyo baada ya kutangazwa kwamba amechaguliwa
kuwa Rais ,lakini kwa hali yoyote itabidi ashike madaraka kabla
ya kupita siku saba.
(2)Isipokuwa kama atajiuzulu au atafariki mapema zaidi mtu
aliyechaguliwa kuwa Rais, bila ya kuathiri masharti yaliyo katika
ibara ndogo ya(3),atashika kiti cha Rais kwa muda wa miaka
mitano tangu siku alipochaguliwa kuwa Rais.
(3)Mtu aliyechaguliwa kuwa Rais atashika kiti cha Rais hadi-
(a)siku
ambapo mtu atakaye mfuatia katika kushika kiti
hicho atakula kiapo cha Rais;

Hapa kifungu namba 42(3)a, nafikiri pako wazi hakuna haja ya kuelezea

Turudi kwenye kifungu namba (38) kuhusu bunge kuvunjwa bunge linaweza kuvunjwa endapo kuna mambo yametokea makubwa inamaana sio kwa utaratibu bali hilo swala limelazimu,

Lakini bunge kuvunjwa kwa kupisha uchaguzi hapo Mamlaka ya Rais yanakuwa hayajakoma mpaka siku mrithi wake anaapishwa.
 
Soma na wewe hi ibara ya 38
(2) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, kiti cha Rais kitakuwa ki wazi, na uchaguzi wa Rais utafanyika au nafasi hiyo itajazwa vinginevyo kwa mujibu wa Katiba hii, kadri itakavyokuwa, kila mara litokeapo lolote kati ya mambo yafuatayo:- (a) baada ya Bunge kuvunjwa;
(b) baada ya Rais kujiuzulu bila ya kulivunja Bunge kwanza:
(c) baada ya Rais kupoteza sifa za kushika nafasi madaraka ya kuchaguliwa;
(d) baada ya Rais kushtakiwa Bungeni kwa mujibu wa Katiba hii, na kuondolewa katika madaraka;
(e) baada ya kuthibitishwa kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 37 ya Katiba hii kwamba Rais hawezi kumudu kazi na shughuli zake;
(f) baada ya Rais kufariki.
 
Back
Top Bottom