Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,671
- 853
Bado anabaki na madaraka ya urais mpaka pale atakapokabidhi nchi siku ya kuapishwa rais mwingineNa JPM akivunja bunge atakuwa na madaraka ya Urais?

Huyo muhuni urais wake umeshakoma Leo.
Bunge limevunjwa!Kwani wabunge wamefikisha miaka 5 ?