pCpCp RICH THINKER
Senior Member
- Apr 5, 2021
- 121
- 103
'Confirmatory Test'The problem with your threads unaandika title ndefu ambayo ni conclusive,unaandika hoja ambazo unajijibia mwenyewe,unatoa direction ya namna ya kufikiri kwenye hizo hoja. Sasa sijui point yako ni nini hasa kama majibu tayari unayo😀😀😀
Sio kutuandaa, sababu kubwa ni rehersal pale ofisi ya mkuu kwa huyu mpya, pia kufuatilia mafaili nyeti yote. Kama kuna lilomiss basi kulifuatilia labda aliliacha home. Mafaili yote muhimu baada ya kupatikana na kukabidhiwa mrithi, ndio wakatangaza. Hii ndio mnaita kwa usalama wa Taifa ilisogezwa mbele.Ni hivi ukiwa kwenye power na kuondoka na kuondoka ni tofauti na yule aliye staafu...
Kulikuwa na ulazima wa system kupiga kimya kuangalia usalama wa eneo husika ili kuzuia UASI..
Suala hili lilikuwa siri sana ...
Lilikuwa siri... Kilichofanyika ni kutuandaa kisaikolojia...
Wakatumia mtu wa Ubelgiji, Kenya News Media.., Na baadhi ya watu kuspread news huku masuala ya ulinzi yakiimarishwa na kuhakikisha kiapo cha mtu mpya kinakwenda salama salmini..
Kuna mengine mengi zaidi ya hayo mkuu.....Sio kutuandaa, sababu kubwa ni rehersal pale ofisi ya mkuu kwa huyu mpya, pia kufuatilia mafaili nyeti yote. Kama kuna lilomiss basi kulifuatilia labda aliliacha home. Mafaili yote muhimu baada ya kupatikana na kukabidhiwa mrithi, ndio wakatangaza. Hii ndio mnaita kwa usalama wa Taifa ilisogezwa mbele.
Yaani siku ile mama anaapishwa tayari akikuwa ameijua ofisi kuu ndani nje! Hivyo.
Hana lolote huyo TumainiEl ambaye ni muabudu Magufuli. Nchi iko salama mokononi mwa SSH, uchumi unakuwa, diplomasia inashamiri, watoto wanakwenda shule, wafanyakazi wanalipwa increment, na hakuna tishio la kunyang'anywa fedha wala kuuliwa na WASIOJULIKANA."Kiufupi hakujapoa yapo mengi mazito ya head of nation"
Mkuu, lugha ngumu sana hii kuweza kueleweka [emoji3516]
Kiswaswadu mwongo sanaTena ktk nyumba ya ibada!!!!!!hakika katelefone almetukosea sana
Hizo porojo, kwa nafasi hiyo ya kusemwa hayakosekani.Kuna mengine mengi zaidi ya hayo mkuu.....
Kuna wajinga walitaka kupindua meza... Kuna mengi sana chini ya kapeti ambayo watu walizama hadi kijijini kwake chumbani kabla ya tamko na kuchukua nondo flan flan
Tunatofautiana na source of info..Hizo porojo, kwa nafasi hilo ya kusemwa hayakosekani.
JK"Who was in command kwenye transition?" -- hatari sana.
Huyo atakuwa in command hata sasa.
Upuuzi ni upuuzi tu. Nimeuliza nbona wewe hukutekwa?Wapuuzi kwa mujibu wa nani? wa mtekaji na wafuasi wake?
Haya hata Amini alivyokimbia uganda kuna waliosema ameenda kujipanga atarudi, kumbe porojo.Tunatofautiana na source of info..
Wengine hatupati info humu..
Na hata alipokuwa haonekani wengi wenu mlisema porojo....
Upende usipende.... kuna wajinga walitaka mhusika wa cheo kipya ajiuzulu kwa nguvu... Ili apatikane mwingine kwa uapisho...
Games hizo zilifanyika kwa siri lakini hawakuweza... Na mpaka leo wana nongwa sana na Mama... Walipangwa kushika madaraka beyong 2025...lakini haikuwezekana
Basi nipe kosa la katibu alilofanya kumfanya akae uongozini siku 31 tuu..Haya hata Amini alivyokimbia uganda kuna waliosema ameenda kujipanga starudi, kumbe porojo.
Nakuchokonoa hivyo uwataje hao waliotaks mana sio kwa kujihakikishia huko.... Taja vinginevyo poroja
Hamna kitu just move on it's a done deal.....mlikua mna chance mwaka juzi now it's too late.Ilikuwa ngumu kutoa taarifa moja kwa moja kutokana na usiri ndani ya jamuhuri na usiri wa wale wangemrithi. Kiufupi hakujapoa yapo mengi mazito a heads of nation. Hence watu tujiandae Kisaikolojia
Kwao ilikuwa wameramba king mbili. Wacheza karata watanielewa vizuri.Elewa mada. Tarehe 12 tukio lilitokea lakini kukawa na ukimya Fulani kama vile subirinshetani capitalize ila kule ngambo ya maji wao walishasitusha mipango mingine ya kiserikali!
Wakisubiria tamko Rasmi la Nini kitafanyika katika muktadha wake na wapenzi wa Timu zote husika.
Raia Gani hajui? Sema nyie wapiga kelele wa lulumba. Kivipi Lissu na Mnyika wajue alafu useme jeshini pekee hawakujua? Rumours za kifo chake zilikwisha sambaa Ile weekend.Pia usiku ule ving'ora vya hatari vilipigwa usiku kwenye kamanding za jeshi. Pili ni Maraia tu walikuwa hawajuwi ila karibia Vyombo vyote vya ulinzi walikuwa wanafull data na some of walirudi kazin kwa dharula.
Kama inatetemeka soma comment kama mmNikijaribi kuchangia mikono inatetemeka, acha tu nisikilize maoni kwa makini.
Hapo bado huyu kosa lake ni team sukuma gang. Hujashusha nondo, sijakosea nilivyosema porojo hapo mwanzo.Basi nipe kosa la katibu alilofanya kumfanya akae uongozini siku 31 tuu..
Hajakosea... Kumbe....?Hapo bado huyu kosa lake ni team sukuma gang. Hujashusha nondo, sijakosea nilivyosema porojo hapo mwanzo.
Wew ndio GT sasThe problem with your threads unaandika title ndefu ambayo ni conclusive,unaandika hoja ambazo unajijibia mwenyewe,unatoa direction ya namna ya kufikiri kwenye hizo hoja. Sasa sijui point yako ni nini hasa kama majibu tayari unayo[emoji3][emoji3][emoji3]