Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?

Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?

Kwa iyo ni leo ndo siku ya maadhimisho sio tareh 17 tena.
Elewa mada. Tarehe 12 tukio lilitokea lakini kukawa na ukimya Fulani kama vile subirinshetani capitalize ila kule ngambo ya maji wao walishasitusha mipango mingine ya kiserikali!
Wakisubiria tamko Rasmi la Nini kitafanyika katika muktadha wake na wapenzi wa Timu zote husika.
 
Everything cant go mpendavyo jmn
Naamini ilikua kwa manufaa ya usalama wa Taifa
Kama kweli kulikuweko na Usalama wa Taifa hili pendwa ilibidi Hawa Usalama wangeweza vidhibiti mwendo kule kwenye Amana kuu pia. Kwa maana Baada ya kukamilika Kwa huduma zote muhimu kulitokezea tume yabuchunguzi Kuke kwenye Amana ya pesa za waTanzania kuwa kulikuwa na utata Fulani wa sintofahamu Kuna walioiga saini na kukwapua mlungula wakidai ni za kutoa huduma Kwa mgonjwa na yaliyomkuta Katibu wa kitengo hadi muda hii wanajijua. Ila ripotinhiyo haijatolewa hadharani hadi hii madan inakuja hapa JF.
Duuh! Shehe kauza msikiti!!
 
Inawezekana,mara nyingi hawa public figures wakikata moto huwa kuna protokali za kufuata..sasa kama mazingira hayakua rafiki ni lazima waandae kwanza mazingira ndio watangazie raia! Hizi terehe ni namba tu kwa ajili ya kumbukumbu kama taifa(ushahidi tu) lakini wahusika ndio wanajua tarehe halisi ya tukio.
 
Hii ilihitaji right time to announce lakini lilikuwa mikononi mwa ile kamati kuu inayongalia usalama wetu. Ukipata wasaa muulize yule mzee wa kitengo aliyepo same mashariki " Apostle kuna miujiza huku" Nini kilitokea na yeye ana play part kubwa ya decision influencing kwenye kuandaa hadhara ipate kusikia.mudhui mahususi.
Naam umenipa dot muhimu sana.

Nimeelewa mwalimu
 
Ilikuwa ngumu kutoa taarifa moja kwa moja kutokana na usiri ndani ya jamuhuri na usiri wa wale wangemrithi. Kiufupi hakujapoa yapo mengi mazito a heads of nation. Hence watu tujiandae Kisaikolojia
Kuna mhuni mmoja anakataa wahuni wenzake huko.
Huu uhuni uliojiri anaweza kutema bungo akipewa asali.

Muda ni rafiki na adui pia
 
Elewa mada. Tarehe 12 tukio lilitokea lakini kukawa na ukimya Fulani kama vile subirinshetani capitalize ila kule ngambo ya maji wao walishasitusha mipango mingine ya kiserikali!
Wakisubiria tamko Rasmi la Nini kitafanyika katika muktadha wake na wapenzi wa Timu zote husika.
Unahisi kule waliambiwa kutokana na ukarabu wa Hussein na John au kwakuwa yule ni head of state au kwakuwa ametumikia idara ya Ulinzi kwa mda mrefu hivo trust ilikuwa kubwa kwake?
 
Tena ktk nyumba ya ibada!!!!!!hakika katelefone almetukosea sana
Atakuwa kadanganywa na yeye akadanganya hivyo sio kosa lake ni amekoseshwa ila baada ya kujua alikoseshwa, na baada ya kuujua ukweli halisi wa kilichotokea tarehe 12 Machi, alipaswa kuomba radhi kwa ku apologise or just say sorry.

Kitendo cha kusema uongo mchana kweupe tena kwenye kadamnasi ya watu na ukajua ulisema uongo mkubwa vile, nchi za wenzetu ni unawajibika!.

Kitendo cha kutoomba radhi ni dharau kubwa kuwa wote wale aliowadanganya anawaona ni majuha hawastahili kuombwa radhi.
P
 
  1. Why viongozi wetu wakuu wa huku bara tuu ndio hawakujulishwa? As a results waliendelea na ratiba zao za kawaida as if nothing happened?.
  2. Lakini Zanzibar walifuta ratiba za matukio yao yote!, hii ina maana viongozi wa Zanzibar ndio walijua kitu kabla ya viongozi wa JMT huku bara hawajajulishwa?.
Wahusika hawawezi kukujibu hili...
 
Atakuwa kadanganywa na yeye akadanganya hivyo sio kosa lake ni amekoseshwa ila baada ya kujua alikoseshwa, na baada ya kuujua ukweli halisi wa kilichotokea tarehe 12 Machi, alipaswa kuomba radhi kwa ku apologise or just say sorry.

Kitendo cha kusema uongo mchana kweupe tena kwenye kadamnasi ya watu na ukajua ulisema uongo mkubwa vile, nchi za wenzetu ni unawajibika!.

Kitendo cha kutoomba radhi ni dharau kubwa kuwa wote wale aliowadanganya anawaona ni majuha hawastahili kuombwa radhi.
P
Mnamuonea bure tu huyo jamaa, toka Uhuru mmekuwa mkijazwa uongo na hamjawahi kuombwa radhi na yeyote ila kwa kuwa yeye hatokani na mirengo yenu mmeamua kumgeuza gunia la lawama.........acheni double standards.....acheni unafiki.
 
Back
Top Bottom