Huenda mifumo yote inayotumika duniani ni 'uongo' na hivyo basi taarifa za uongo ndizo hasa chakula Cha mifumo ya uongo.Duniani ukweli hufichwa, ukajulikana na watu wachache sana,Uongo ndiyo imekuwa ikilishwa jamii siku zote, sijui ni kwa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda mifumo yote inayotumika duniani ni 'uongo' na hivyo basi taarifa za uongo ndizo hasa chakula Cha mifumo ya uongo.Duniani ukweli hufichwa, ukajulikana na watu wachache sana,Uongo ndiyo imekuwa ikilishwa jamii siku zote, sijui ni kwa nini?
Nakuelewa sana.Duniani ukweli hufichwa, ukajulikana na watu wachache sana,Uongo ndiyo imekuwa ikilishwa jamii siku zote, sijui ni kwa nini?
The darkest day ever in tzWanabodi
Declaration of Interest
Mimi Paskali sio GT, ila naweza kuandika contents kwa ajili ya ma GT only.
JF ilipoanzishwa na Mkuu Maxence Melo na Mike Mushi, was meant to be a home of Great Thinkers!, Hili ni bandiko la maswali fikirishi kwa ma GT only!. Wewe kama ni mwenzangu na mimi, na sio GT, nashauri kwenye bandiko hili kwa leo jipitie tuu bila kuchangia chochote!.
Today's, the 12th March, could it be ndio the fateful day ya lile tukio ila tukaja kutangaziwa 5 days later?.
Maswali haya ni kwa mujibu wa kanuni ya ukweli ya seek the truth and tell the truth and the truth will set you free.
- Je ukweli halisi ni upi?.
- What really happened in that fateful day?
- Why viongozi wetu wakuu wa huku bara tuu ndio hawakujulishwa? As a results waliendelea na ratiba zao za kawaida as if nothing happened?.
- Lakini Zanzibar walifuta ratiba za matukio yao yote!, hii ina maana viongozi wa Zanzibar ndio walijua kitu kabla ya viongozi wa JMT huku bara hawajajulishwa?.
- Kwa kawaida No. 2 anatumwa kazi na No. 1, sasa wakati No.1 tayari hayupo, nani alimtuma No.2 ile safari?.
- Kwa nini Watanzania tukajulishwa after 5 Days?.
- Hizo Siku 5 walizo kaa naye baada ya kutokea, walikuwa Wanafanya nini nae?.
- Was it the right thing to do? jambo kubwa kama hili kutangazwa na kijana wao kwenye mitandao ya kijamii na wao kukaa kimya bila kukanusha?
- If it was not right, kama uamuzi huo ni wa familia, then it's a family affair, hatuna haki kuuliza chochote kwa mujibu wa kinga ya the right to privacy.
- Lakini kama uamuzi huo ni watu baki and it was not right, ni kina nani hao na wamefanywa nini?.
Kuparifa taarifa zamani ilikuwa ni favour tuu lakini sasa kwa mujibu wa The Right to Information Act, kupata taarifa ni haki, sio favour!, hivyo Watanzania tuna haki ya kupatiwa taarifa sahihi na tuambiwe ukweli wa ni nini haswa kilichotokea ile siku ili kutuweka huru!.
Maswali haya yanatokana na ile March 12, mimi ni miongoni mwa tuliotumiwa taarifa hii kutokana na ku subscribers kwa mwana JF mwenzetu huyu ambaye kwa mujibu wa kazi yake, hatuna sababu yoyote ya ku doubt the authenticity ya taarifa yake based on his sources, kwasababu hayo yote yaliyotangazwa na mwana jf huyu, yakaja kutangazwa rasmi 5 days later!, hivyo tukio hilo ambalo mwanzo lilionekana kama ni uzushi, likaja kuthibitishwa kwa taarifa rasmi.
Kama taarifa ya mwana JF huyu ilikuwa ni uzushi, mbona uzushi huu haukukanushwa rasmi mpaka leo?.
Ombi kwa Mode: JF ni social media, ambayo ni user generated forum, na sio mainstream media, hivyo members wako huru kuchanganya lugha au kutumia any informality as long as sio lugha za kilugha, hivyo heading ikiwa imechanya lugha mode wasiingilie kutafsiri, kuna vitu very sensitive, ukitumia lugha za wenzetu the impact ni ndogo zaidi!.
Angalizo kwa wachangiaji: Ma GT hawataji majina, hakuna jina la mtu yeyote aliyetajwa kwenye bandiko hili, hivyo sitegemei mtu yoyote anayechangia uzi huu kutaja jina lolote, na hata ikitokea wewe sio GT, but for the sake of bandiko hili, nakuomba ujifanye GT, usitaje jina lolote.
Jumapili Njema
Paskali
Lakini pia kupata nafasi ya kuweka mipango ili mama asichukue nafasi km katiba inavyotaka.Nijibu kwa sababu ya kikawaida, nadhani uamuzi ule wa kuchelewa kutoa taarifa rasmi za tukio ulisababishwa na sababu za kiusalama, kuondoa tension ambayo walidhani ingeweza kujitokeza kwa jamii.
Kiasi kikubwa walifanikiwa kwenye hili, kwani tetesi zilizosambaa kuhusu taarifa za kifo, zilisababisha siku walipotangaza rasmi pasiwepo na mshtuko mkubwa, na ndio maana taarifa ile ilitolewa usiku mnene, wakijua watanzania wengi watakuwa wamelala.
Uzi wako umerudisha Apostle MayalaWanabodi
Declaration of Interest
Mimi Paskali sio GT, ila naweza kuandika contents kwa ajili ya ma GT only.
JF ilipoanzishwa na Mkuu Maxence Melo na Mike Mushi, was meant to be a home of Great Thinkers!, Hili ni bandiko la maswali fikirishi kwa ma GT only!. Wewe kama ni mwenzangu na mimi, na sio GT, nashauri kwenye bandiko hili kwa leo jipitie tuu bila kuchangia chochote!.
Today's, the 12th March, could it be ndio the fateful day ya lile tukio ila tukaja kutangaziwa 5 days later?.
Maswali haya ni kwa mujibu wa kanuni ya ukweli ya seek the truth and tell the truth and the truth will set you free.
- Je ukweli halisi ni upi?.
- What really happened in that fateful day?
- Why viongozi wetu wakuu wa huku bara tuu ndio hawakujulishwa? As a results waliendelea na ratiba zao za kawaida as if nothing happened?.
- Lakini Zanzibar walifuta ratiba za matukio yao yote!, hii ina maana viongozi wa Zanzibar ndio walijua kitu kabla ya viongozi wa JMT huku bara hawajajulishwa?.
- Kwa kawaida No. 2 anatumwa kazi na No. 1, sasa wakati No.1 tayari hayupo, nani alimtuma No.2 ile safari?.
- Kwa nini Watanzania tukajulishwa after 5 Days?.
- Hizo Siku 5 walizo kaa naye baada ya kutokea, walikuwa Wanafanya nini nae?.
- Was it the right thing to do? jambo kubwa kama hili kutangazwa na kijana wao kwenye mitandao ya kijamii na wao kukaa kimya bila kukanusha?
- If it was not right, kama uamuzi huo ni wa familia, then it's a family affair, hatuna haki kuuliza chochote kwa mujibu wa kinga ya the right to privacy.
- Lakini kama uamuzi huo ni watu baki and it was not right, ni kina nani hao na wamefanywa nini?.
Kuparifa taarifa zamani ilikuwa ni favour tuu lakini sasa kwa mujibu wa The Right to Information Act, kupata taarifa ni haki, sio favour!, hivyo Watanzania tuna haki ya kupatiwa taarifa sahihi na tuambiwe ukweli wa ni nini haswa kilichotokea ile siku ili kutuweka huru!.
Maswali haya yanatokana na ile March 12, mimi ni miongoni mwa tuliotumiwa taarifa hii kutokana na ku subscribers kwa mwana JF mwenzetu huyu ambaye kwa mujibu wa kazi yake, hatuna sababu yoyote ya ku doubt the authenticity ya taarifa yake based on his sources, kwasababu hayo yote yaliyotangazwa na mwana jf huyu, yakaja kutangazwa rasmi 5 days later!, hivyo tukio hilo ambalo mwanzo lilionekana kama ni uzushi, likaja kuthibitishwa kwa taarifa rasmi.
Kama taarifa ya mwana JF huyu ilikuwa ni uzushi, mbona uzushi huu haukukanushwa rasmi mpaka leo?.
Ombi kwa Mode: JF ni social media, ambayo ni user generated forum, na sio mainstream media, hivyo members wako huru kuchanganya lugha au kutumia any informality as long as sio lugha za kilugha, hivyo heading ikiwa imechanya lugha mode wasiingilie kutafsiri, kuna vitu very sensitive, ukitumia lugha za wenzetu the impact ni ndogo zaidi!.
Angalizo kwa wachangiaji: Ma GT hawataji majina, hakuna jina la mtu yeyote aliyetajwa kwenye bandiko hili, hivyo sitegemei mtu yoyote anayechangia uzi huu kutaja jina lolote, na hata ikitokea wewe sio GT, but for the sake of bandiko hili, nakuomba ujifanye GT, usitaje jina lolote.
Jumapili Njema
Paskali
Nchi hii tumechanganyikana sana, huyu naye siyo mtanzania wa kuzaliwa, kiswahili Chake tu kinaondoa shaka juu ya hilo!Ukiua Kwa upanga utakufa Kwa upanga,unamwulizia alioagiza wanaompinga vitazake wauwawe?...
basi tutafute ukweli wa waliotangulia kufanyiwa ubaya kipindi chake. Kila mtu anaumuhimu hii Dunia
Wapi Tanga ndio alitumwa namba 2 , ila Tanga si ndio kwao yule Mzee wa wazuri awafi eti ee? Kina je wapi yuleWanabodi
Declaration of Interest
Mimi Paskali sio GT, ila naweza kuandika contents kwa ajili ya ma GT only.
JF ilipoanzishwa na Mkuu Maxence Melo na Mike Mushi, was meant to be a home of Great Thinkers!, Hili ni bandiko la maswali fikirishi kwa ma GT only!. Wewe kama ni mwenzangu na mimi, na sio GT, nashauri kwenye bandiko hili kwa leo jipitie tuu bila kuchangia chochote!.
Today's, the 12th March, could it be ndio the fateful day ya lile tukio ila tukaja kutangaziwa 5 days later?.
Maswali haya ni kwa mujibu wa kanuni ya ukweli ya seek the truth and tell the truth and the truth will set you free.
- Je ukweli halisi ni upi?.
- What really happened in that fateful day?
- Why viongozi wetu wakuu wa huku bara tuu ndio hawakujulishwa? As a results waliendelea na ratiba zao za kawaida as if nothing happened?.
- Lakini Zanzibar walifuta ratiba za matukio yao yote!, hii ina maana viongozi wa Zanzibar ndio walijua kitu kabla ya viongozi wa JMT huku bara hawajajulishwa?.
- Kwa kawaida No. 2 anatumwa kazi na No. 1, sasa wakati No.1 tayari hayupo, nani alimtuma No.2 ile safari?.
- Kwa nini Watanzania tukajulishwa after 5 Days?.
- Hizo Siku 5 walizo kaa naye baada ya kutokea, walikuwa Wanafanya nini nae?.
- Was it the right thing to do? jambo kubwa kama hili kutangazwa na kijana wao kwenye mitandao ya kijamii na wao kukaa kimya bila kukanusha?
- If it was not right, kama uamuzi huo ni wa familia, then it's a family affair, hatuna haki kuuliza chochote kwa mujibu wa kinga ya the right to privacy.
- Lakini kama uamuzi huo ni watu baki and it was not right, ni kina nani hao na wamefanywa nini?.
Kuparifa taarifa zamani ilikuwa ni favour tuu lakini sasa kwa mujibu wa The Right to Information Act, kupata taarifa ni haki, sio favour!, hivyo Watanzania tuna haki ya kupatiwa taarifa sahihi na tuambiwe ukweli wa ni nini haswa kilichotokea ile siku ili kutuweka huru!.
Maswali haya yanatokana na ile March 12, mimi ni miongoni mwa tuliotumiwa taarifa hii kutokana na ku subscribers kwa mwana JF mwenzetu huyu ambaye kwa mujibu wa kazi yake, hatuna sababu yoyote ya ku doubt the authenticity ya taarifa yake based on his sources, kwasababu hayo yote yaliyotangazwa na mwana jf huyu, yakaja kutangazwa rasmi 5 days later!, hivyo tukio hilo ambalo mwanzo lilionekana kama ni uzushi, likaja kuthibitishwa kwa taarifa rasmi.
Kama taarifa ya mwana JF huyu ilikuwa ni uzushi, mbona uzushi huu haukukanushwa rasmi mpaka leo?.
Ombi kwa Mode: JF ni social media, ambayo ni user generated forum, na sio mainstream media, hivyo members wako huru kuchanganya lugha au kutumia any informality as long as sio lugha za kilugha, hivyo heading ikiwa imechanya lugha mode wasiingilie kutafsiri, kuna vitu very sensitive, ukitumia lugha za wenzetu the impact ni ndogo zaidi!.
Angalizo kwa wachangiaji: Ma GT hawataji majina, hakuna jina la mtu yeyote aliyetajwa kwenye bandiko hili, hivyo sitegemei mtu yoyote anayechangia uzi huu kutaja jina lolote, na hata ikitokea wewe sio GT, but for the sake of bandiko hili, nakuomba ujifanye GT, usitaje jina lolote.
Jumapili Njema
Paskali
Paskali unatuzuga, usijidai hujui.Wanabodi

Mkuu wewe kihistoria siyo mtu wa kushangaa.Wanabodi

Nakazia kwa uchungu.GT hawajitaji, wanatambulika kwa matendo, sio kwa kujisema, hemu anzisha: gtforums.com
Hawa wasio GT ndo huwa wana impact kwenye, kama wabisha angalia trends online.
Kama una agenda ya GT tu kwa kutuzalilisha sisi, why dont u go to UD and address them?
Ukileta agenda za kutuzalilisha sisi standard 7, the resemblence of your agenda to stupidity is uncanny.
Eti wanasema nilikuwa simpendi Makande, Wakati juzi kati kanipa kiwanja nkajenge kilingeni kwake geita.KAULI HII ILINICHANGANYA NA NIMEITUNZA.Maswali si mepesi, na bado hakujapoa. Kuna hotuba siku ya maziko zilifunua mengi sana, body language zilikuwa wazi!
Bwana yule kuvujisha haikuwa bahati mbaya na yaliyosemwa majukwaani hivi karibuni inazidi kutoa picha halisi.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Conspiracy theory.Wanabodi
Declaration of Interest
Mimi Paskali sio GT, ila naweza kuandika contents kwa ajili ya ma GT only.
JF ilipoanzishwa na Mkuu Maxence Melo na Mike Mushi, was meant to be a home of Great Thinkers!, Hili ni bandiko la maswali fikirishi kwa ma GT only!. Wewe kama ni mwenzangu na mimi, na sio GT, nashauri kwenye bandiko hili kwa leo jipitie tuu bila kuchangia chochote!.
Today's, the 12th March, could it be ndio the fateful day ya lile tukio ila tukaja kutangaziwa 5 days later?.
Maswali haya ni kwa mujibu wa kanuni ya ukweli ya seek the truth and tell the truth and the truth will set you free.
- Je ukweli halisi ni upi?.
- What really happened in that fateful day?
- Why viongozi wetu wakuu wa huku bara tuu ndio hawakujulishwa? As a results waliendelea na ratiba zao za kawaida as if nothing happened?.
- Lakini Zanzibar walifuta ratiba za matukio yao yote!, hii ina maana viongozi wa Zanzibar ndio walijua kitu kabla ya viongozi wa JMT huku bara hawajajulishwa?.
- Kwa kawaida No. 2 anatumwa kazi na No. 1, sasa wakati No.1 tayari hayupo, nani alimtuma No.2 ile safari?.
- Kwa nini Watanzania tukajulishwa after 5 Days?.
- Hizo Siku 5 walizo kaa naye baada ya kutokea, walikuwa Wanafanya nini nae?.
- Was it the right thing to do? jambo kubwa kama hili kutangazwa na kijana wao kwenye mitandao ya kijamii na wao kukaa kimya bila kukanusha?
- If it was not right, kama uamuzi huo ni wa familia, then it's a family affair, hatuna haki kuuliza chochote kwa mujibu wa kinga ya the right to privacy.
- Lakini kama uamuzi huo ni watu baki and it was not right, ni kina nani hao na wamefanywa nini?.
Kuparifa taarifa zamani ilikuwa ni favour tuu lakini sasa kwa mujibu wa The Right to Information Act, kupata taarifa ni haki, sio favour!, hivyo Watanzania tuna haki ya kupatiwa taarifa sahihi na tuambiwe ukweli wa ni nini haswa kilichotokea ile siku ili kutuweka huru!.
Maswali haya yanatokana na ile March 12, mimi ni miongoni mwa tuliotumiwa taarifa hii kutokana na ku subscribers kwa mwana JF mwenzetu huyu ambaye kwa mujibu wa kazi yake, hatuna sababu yoyote ya ku doubt the authenticity ya taarifa yake based on his sources, kwasababu hayo yote yaliyotangazwa na mwana jf huyu, yakaja kutangazwa rasmi 5 days later!, hivyo tukio hilo ambalo mwanzo lilionekana kama ni uzushi, likaja kuthibitishwa kwa taarifa rasmi.
Kama taarifa ya mwana JF huyu ilikuwa ni uzushi, mbona uzushi huu haukukanushwa rasmi mpaka leo?.
Ombi kwa Mode: JF ni social media, ambayo ni user generated forum, na sio mainstream media, hivyo members wako huru kuchanganya lugha au kutumia any informality as long as sio lugha za kilugha, hivyo heading ikiwa imechanya lugha mode wasiingilie kutafsiri, kuna vitu very sensitive, ukitumia lugha za wenzetu the impact ni ndogo zaidi!.
Angalizo kwa wachangiaji: Ma GT hawataji majina, hakuna jina la mtu yeyote aliyetajwa kwenye bandiko hili, hivyo sitegemei mtu yoyote anayechangia uzi huu kutaja jina lolote, na hata ikitokea wewe sio GT, but for the sake of bandiko hili, nakuomba ujifanye GT, usitaje jina lolote.
Jumapili Njema
Paskali
Fasihi simulizi ni ukoko, kwangua!Wanabodi