Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?

Tanzania ni mali ya nani ?
 
Sarcasm
 
..Na tukio lilitokea NCHI JIRANI.

..Na lilitokea ktk HOSPITALI iliyomuokoa jamaa aliyemtwanga marisasi.
Nilimsoma mwanajf mmoja akisema kuwa kule tulipeleka Mwili.. Tukaambiwa huyu hatunaye.. Hatukukubali.. Pipa likaungurumishwa kuelekea Kwa mabaniani.. Walipokuwa hewani wakashauriana na kukubaliana kuwa wanajisumbua na kumsumbua na walichoambiwa pale alipokuwa amelazwa hasimu wake ndio kulikuwa Ukweli.. Pipa likageuzwa kurudi Kipawa.. Mwili ukapelekwa Makumbusho..

Na ndio sababu taarifa zilianza kutokea Kwa majirani wa Kaskazini ikifuatiwa na hasimu wake ambaye wakati huo alikuwa ughaibuni..
 
Ni kwamba Kiongozi wa Nchi kama lile la tarehev14 octoba , taratibu zake za kutoa hati ya kifo inapitia watu wengi mpaka taarifa ifike tbc .na msoma taarifa, awe katika Hali ya kuweza kutoa taarifa.
 
Huyu tulimpoteza MUDA mrefu Sana na sio siku tano kabla ya kutangazwa

Na alipitia nyakati zote ngumu. Za kushindwa kusimama
Kuongea
Kukaa
Hadi kuondoka.

Hii ilileta furaha na kejeli kwa opponents wa kisiasa.
Jee ni malipo ya maumivu kwa wengine?
Ndio yale tunayosikia katika maombi kuwa " Ee Mungu tujalie tupate kifo chenye kheri".
Kumbe maana yake ni hii, kwamba tuepushiwe kifo cha mateso.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Jee ni malipo ya maumivu kwa wengine?
Ndio yale tunayosikia katika maombi kuwa " Ee Mungu tujalie tupate kifo chenye kheri".
Kumbe maana yake ni hii, kwamba tuepushiwe kifo cha mateso.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app


Hakika kifo ambacho hakina mateso ni kizuri Sana.

Kilicholeta taharuki ni Aina ya hatua alizokuwa anapitia

Kushindwa kutembea
Kushindwa kukaa
Kushindwa kusimama na kuongea.

Mwili kupooza

Taarifa hizi zilipenyezwa kwa maasimu wake hasa asimu wake mkuu ambaye alikuwa nje hivyo huyo asimu wake mkuu alivyojua adui yake amepooza mwili mzima , ndipo aliamua kumuulizia kwa kusema "Mkuu wa familia yuko wapi"


Malipo yake ya karma yalikuwa makubwa Sana.
 
Japo miaka inaendelea kupita bila ukweli halisi kuwekwa bayana, this is the day na kuna siku itafika ukweli huu utawekwa bayana!, swali tunalojiuliza bila majibu, ni walikuwa wanafanya nini na huo... kwa siku 5 nzima mpaka tulipojulishwa?.
P
Mao Tse Tung alivyofariki bwa china hawakuta kuamini Kwa Amekata Moto, na jitihada za kupata , viungo vya mtu Mwingine nk ilikuwezesha Maisha yaendele zilifanyika. Na kuna wake wa ndani walitaka kuendeleza utawala wake lakini ilishindikana.na walikuwa kufukuzwa kwenye Chama.
 
Nimesoma mara tatu tatu,"na shughuli yake ikasitishwa pale Dodoma Kwa wajeda"
 
Yule kiongozi amefariki.
Watu wanabishana nani achukue nafasi yake.
Kwa hiyo hawatangazi.
Hapo hakuna mystery.
Ile ni kama watu wanapobishana mwili uzikwe wapi.
Lakini ukisema there was foul play. For most people inakuwa far- fetched. Watu hawako tayari kukubali conspiracy theories.
Unakuwepo uchawa katika ulinzi ambapo walinzi wanaonyesha loyalty yao kwa kiongozi aliyepo madarakani kwa kumdharau kiongozi aliyepita.
Sasa watu hawajali kudharauliwa, lakini ukifanya mambo ya kuhatarisha maisha yao,unaleta taharuki.
Yule Mwendazake alikuwa anabisha kwamba alikuwa anahitaji ushauri wa mtu yoyote.
Kwa hiyo alikuwa hataki interference.
Kuna suspicion but there is nothing which can trigger an investigation.
Lakini yule mama alikuwa anapamba jeneza la Mwendazake alikufa mysteriously siku saba baada ya maziko.
Polonium ilikuwa inatajwa.
Wachina walisema,"We will wait for you to go away,kwa sababu you don't want to do what we want you to do."
Ah,waliongelea kuhusu kudukua moyo,kwamba moyo wake ulikuwa unafanya kazi kwa remote control.
Mi nashindwa kuamini kwamba ilikuwepo foul play.
And,besides,I have other things to worry about; holes in the soles of my shoes, and holes in the seat of my pants.
Siku Ile nilikuwa sina hela ya kupanda,nikatembea tu mpaka Upanga.
Kufika kule nikawauliza wale ndugu zangu;" Hawa wanahabari wa Kenya wanasema 'Yupo kiongozi wa East Africa hapa katika hospitali Nairobi. Wanaongea juu ya nani?"
Nikaambiwa,"Wanasema ni Magufuli "
Nikasema,"Oh,oh,nataka asimame atembee. Sitaki yule mwanamke awe Rais."
It would be useful to track the phone conversations of those who were at the death bed.
Kama mtu alienda pembeni kupiga simu,simu iliyokwenda nje ya nchi.
Naona TIGO wamebadili jina for reasons which are not clear.
 
Well put Bro, I appreciate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…