Kuna mkuu mmoja mstaafu wa majeshi alizungumza kwa huzuni kuhusu hilo tukio. Huenda ukweli utakuwa ndani ya mazungumzo yake. Alisema hajawahi kupata wakati mgumu kama wakati wa hilo tukio.
Ukiua Kwa upanga utakufa Kwa upanga,unamwulizia alioagiza wanaompinga vitazake wauwawe?...
basi tutafute ukweli wa waliotangulia kufanyiwa ubaya kipindi chake. Kila mtu anaumuhimu hii Dunia
Vyote, waandishi wetu ni machawa, wanatoa habari za kumfurahisha mtoa bahasha na aliyeshika mpini.
Pia wanapangiwa cha kutangaza/kuandika ndio maana wakipata habari wanawapigia wahusika kuwauliza kama waitoe hiyo habari au wapige kimya.