Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?

Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?

Tarehe yenyewe ilikuwa 09/03/2021 saa Saba mchana

Na cha kushangaza hata Familia yake ina adhimisha siku ya kifo siku 8 kabla ya siku ambayo Taifa lina adhimisha,

Britanicca
 
Kwa iyo ni leo ndo siku ya maadhimisho sio tareh 17 tena.
Kuna mkuu mmoja mstaafu wa majeshi alizungumza kwa huzuni kuhusu hilo tukio. Huenda ukweli utakuwa ndani ya mazungumzo yake. Alisema hajawahi kupata wakati mgumu kama wakati wa hilo tukio.
 
Kwa maana hiyo sio ugumu wa kupata habari ni tatizo la waandishi kupangiwa watakalotangaza.
Vyote, waandishi wetu ni machawa, wanatoa habari za kumfurahisha mtoa bahasha na aliyeshika mpini.
Pia wanapangiwa cha kutangaza/kuandika ndio maana wakipata habari wanawapigia wahusika kuwauliza kama waitoe hiyo habari au wapige kimya.
 
Back
Top Bottom