Je, maamuzi ya Rais Samia ni State Capture?

Ukipata teuzi sio state kepucha ukikosa ni state kepucha😅😅😅
 
mwendazake anavuna alichopanda
 
Machafuko watakuwa wameyataka wenyewe. Angalia kinachoendelea Sudan. Watu wakishachoka hata uwaue wanakuja tu. Utoe vifaru. Ndo wanavirukia. The only thing viongozi kuzisoma nyakati.
Hakuna kitu kama hicho wala machafuko. Samia ni rais 2025 hadi 2035. Tutabadili katiba mpya atawale milele atake asitake
 
Mbona sioni tatizo na maoni ya Tindo?
 
Dhalimu mwendazake ataendelea kutajwa sana tu na kamwe hatutaacha kumtaja kwa udhalimu wake usio na mfano dhidi ya Watanzania hadi vitukuu wetu nao waijue hiyo jehanum tuliyopitia na aliyetupitisha huko.
 
Muroto alisema mtapigwa mpaka mchakae
Sasa hapa akili ndio zinapigwa mpaka zichakae
Dawa ni kupambana na hali yoyote ili mradi siku ziende
 
Sifa kuu ya Mtanzania Ni kuogopa kitu asicho kijua just like huyu mtoa Mada.
 
Ni wakati Watanzania tutakapoondoa woga na kuwaambia the elites/Mabwana, enough is enough. Hapo ndo tutakuwa tumepona kama nchi.
Kuwaambia haisaidii kitu!! Staili ya mzee wa msoga ni hatari, yeye husimamia usemi huu " kelele za chura hazimzuii mtu kuteka mami"!!! Enzi zake walimwita "dhaifu" lakini shoppimg centre & company walishamiri! staili hiyo inarudi!!
 

We had STATE CAPTURE during the Kikwete presidency na Ndio sababu ya kusabotage ile katiba Mpya kwani bila kufanya hivyo yangempata kama ya ZUMA Kule bonden!! Sasa Mama asipoangalia huyo mshauri wake anaweza kumsukumizia zigo la misumali akaishia kutumbukizwa lupango because her ignorance is no excuse!!!
 
You bet!!
Hapo umegonga penyewe.
SSH asipom shake off Kikwete kama ulivyosema atabeba mzigo yeye mwenyewe siku zijazo na haziko mbali
Zuma yuko gerezani. Sijui kama amekwisha toka!
 
Umri umeenda. Punde si punde hatakuwa na influence yeyote ile.
Kuwaambia haisaidii kitu!! Staili ya mzee wa msoga ni hatari, yeye husimamia usemi huu " kelele za chura hazimzuii mtu kuteka mami"!!! Enzi zake walimwita "dhaifu" lakini shoppimg centre & company walishamiri! staili hiyo inarudi!!
 
Andamana uone utakavyoshughulikiwa. Rais Bora ni Rais Samia Suluhu Hassan
Tatizo lako unaangalia maandamano. Nani alikuambia maandamano ndo huleta mabadiliko?
Ninachozungumza hapa ni zaidi ya maandamano.
Hata maandamanoya amani bado ni haki ya kikatiba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…