Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hamjambo!
Wote tunajua kuna ukoloni mamboleo. Zaidi tunafahamu nchi nyingi za kiafrika zilipata uhuru wa bendera.
Tunafahamu pia Katiba inayotumika ni ile ya 1977 ambayo kimsingi inatumia mfumo uleule wa Kikoloni licha ya baadhi ya amendments kadhaa kufanyika.
Kupitia madhaifu hayo. Tumeona harakati zaidi ya miaka 30 ya kudai katiba mpya.
Swali linakuja, je wakoloni wenye ukoloni mamboleo, watakubali tuwe na katiba itakayoathiri maslahi yao?
Swali hili ni kwa Wasomi, hasa wa historia, Siasa, wanasheria, wanadiplomasia, na watu wenye kuwa na uelewa mkubwa wa hizi ishu.
Wale wenzangu na miye. Tutulie.
Ijumaa Kareem