Je, mabeberu wataruhusu tupate katiba mpya itakayogusa Maslahi yao?

Takataka 🚮🚮🚮
Katiba ya nchi haijawahi kupitishwa na nchi nyingine na wala haiwezi kuathiri nchi nyingine kama nchi hiyo haiko chini ya mamlaka ya nchi hiyo! Hapa unaleta ujinga mtupu!

😀😀😀
Haya mambo hayapo kama unavyoyaona
 
Hamjambo!

Wote tunajua kuna ukoloni mamboleo. Zaidi tunafahamu nchi nyingi za kiafrika zilipata uhuru wa bendera.

Tunafahamu pia Katiba inayotumika ni ile ya 1977 ambayo kimsingi inatumia mfumo uleule wa Kikoloni licha ya baadhi ya amendments kadhaa kufanyika.

Kupitia madhaifu hayo. Tumeona harakati zaidi ya miaka 30 ya kudai katiba mpya.

Swali linakuja, je wakoloni wenye ukoloni mamboleo, watakubali tuwe na katiba itakayoathiri maslahi yao?

Swali hili ni kwa Wasomi, hasa wa historia, Siasa, wanasheria, wanadiplomasia, na watu wenye kuwa na uelewa mkubwa wa hizi ishu.

Wale wenzangu na miye. Tutulie.

Ijumaa Kareem

..Kuna Katiba ya kwanza baada ya uhuru ambayo tuliandikiwa na Waingereza.

..Katiba hiyo ilikuwa ni ya mfumo wa vyama vingi.

..pia Katiba hiyo ilikuwa inaruhusu mgombea binafsi.

..Pia kuna chaguzi ambazo zilisimamiwa na Wakoloni wa Kiingereza na zilikuwa chaguzi safi hakukuwa na kuenguliwa, au kuibiana kura, au kutangazwa kwa nguvu.

..Wachambuzi, na wanazuoni wa Katiba, kama Deus Kibamba wanaamini Katiba tuliyoandikiwa na Muingereza ilikuwa na mambo mazuri ambayo TANU ilikuja kuyapiga chini.
 
😀😀😀
Haya mambo hayapo kama unavyoyaona
Screenshot_20260714-183814~2.png
 
Hamjambo!

Wote tunajua kuna ukoloni mamboleo. Zaidi tunafahamu nchi nyingi za kiafrika zilipata uhuru wa bendera.

Tunafahamu pia Katiba inayotumika ni ile ya 1977 ambayo kimsingi inatumia mfumo uleule wa Kikoloni licha ya baadhi ya amendments kadhaa kufanyika.

Kupitia madhaifu hayo. Tumeona harakati zaidi ya miaka 30 ya kudai katiba mpya.

Swali linakuja, je wakoloni wenye ukoloni mamboleo, watakubali tuwe na katiba itakayoathiri maslahi yao?

Swali hili ni kwa Wasomi, hasa wa historia, Siasa, wanasheria, wanadiplomasia, na watu wenye kuwa na uelewa mkubwa wa hizi ishu.

Wale wenzangu na miye. Tutulie.

Ijumaa Kareem

Tatizo la katiba ni watanzania wenyewe mafisadi hasa wa CCM hakuna mchawi hapa
 
..Kuna Katiba ya kwanza baada ya uhuru ambayo tuliandikiwa na Waingereza.

..Katiba hiyo ilikuwa ni ya mfumo wa vyama vingi.

..pia Katiba hiyo ilikuwa inaruhusu mgombea binafsi.

..Pia kuna chaguzi ambazo zilisimamiwa na Wakoloni wa Kiingereza na zilikuwa chaguzi safi hakukuwa na kuenguliwa, au kuibiana kura, au kutangazwa kwa nguvu.

..Wachambuzi, na wanazuoni wa Katiba, kama Deus Kibamba wanaamini Katiba tuliyoandikiwa na Muingereza ilikuwa na mambo mazuri ambayo TANU ilikuja kuyapiga chini.

Hivyo Tanzania inaweza kujipatia katiba yake nzuri inayobana maslahi ya Wakoloni na mambo yakaenda fresh tuu?
 
Watibeli huwa tuna maswali na majibu yake, tunaelewa unachojibiwa kinaweza kisiwe kilichotakiwa kujibiwa...
Ipo hivi...... Kama anayekupa kitu na yeye anakitaka elewa atakachokupa ni sehemu asiyoitaka.
 
Hivyo Tanzania inaweza kujipatia katiba yake nzuri inayobana maslahi ya Wakoloni na mambo yakaenda fresh tuu?

..labda ungeyataja maslahi ya Wakoloni yaliyoko ktk Katiba hii tuliyonayo.

..halafu tuchambue kama kuna Watanzania wadau wa Katiba ambao wanayapinga, na wangependa yaondolewe.
 
Mchakato wa katiba mpya ulishafanyika wakati wa kikwete. Uliongozwa na jaji warioba. Mchakato ulikwama baada ya CCM kupeleka bungeni rasimu tofauti na ile ya jaji warioba. Wapinzani waligoma wakasema hiyo rasimu sio yenyewe na walitoka nje ya bunge. Mchakato wa katiba mpya ukaishia pale. Kama hao mabeberu hatukuona wakiingiza mkono wao bila shaka hawawezi kufanya hivyo sasa hivi.
 
Unataka kusema Nchi ya Tanzania, wakoloni hawana maslahi nayo?
Kwamba maslahi yaliisha baada ya Tanganyika kupata uhuru then wakapita hivi?
Hawana maslahi ya Hila kama unavyotaka kuweka, ama Mwigulu anavyoiweka. Chochote watakacho wanaweza kukipata kwa mikataba halali. Lakini kutaka kuonyesha wao ndio wanaamua katiba yetu iweje, huo ni upotoshaji usio na tija.
 
Mchakato wa katiba mpya ulishafanyika wakati wa kikwete. Uliongozwa na jaji warioba. Mchakato ulikwama baada ya CCM kupeleka bungeni rasimu tofauti na ile ya jaji warioba. Wapinzani waligoma wakasema hiyo rasimu sio yenyewe na walitoka nje ya bunge. Mchakato wa katiba mpya ukaishia pale. Kama hao mabeberu hatukuona wakiingiza mkono wao bila shaka hawawezi kufanya hivyo sasa hivi.

Hivi kumbe kipindi Kile kilichopelekwa bunge hakikuwa rasimu ya Warioba. Ilikuwa Rasimu ya nani? Kuna mwenye hiyo Rasimu iliyowafanya Wapinzani watoke?
 
Back
Top Bottom