Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Kuna maslahi gani kwa wakoloni kwenye hii nchi?Hamjambo!
Wote tunajua kuna ukoloni mamboleo. Zaidi tunafahamu nchi nyingi za kiafrika zilipata uhuru wa bendera.
Tunafahamu pia Katiba inayotumika ni ile ya 1977 ambayo kimsingi inatumia mfumo uleule wa Kikoloni licha ya baadhi ya amendments kadhaa kufanyika.
Kupitia madhaifu hayo. Tumeona harakati zaidi ya miaka 30 ya kudai katiba mpya.
Swali linakuja, je wakoloni wenye ukoloni mamboleo, watakubali tuwe na katiba itakayoathiri maslahi yao?
Swali hili ni kwa Wasomi, hasa wa historia, Siasa, wanasheria, wanadiplomasia, na watu wenye kuwa na uelewa mkubwa wa hizi ishu.
Wale wenzangu na miye. Tutulie.
Ijumaa Kareem
Ndio kwanini wakatae? Mbona sheria nyingi tu mfano natural reosurces na permanent sovereign act, transfer payment regulations, local content regulations chini ya mining act na kuendelea hadi ammendments za 2025 etc.Swali linakuja, je wakoloni wenye ukoloni mamboleo, watakubali tuwe na katiba itakayoathiri maslahi yao?
Acha kutumia lugha ya karaha kuita watu majina hata wewe ukiitwa hivyo hutapenda..mabeberu wakati kila leo mnatembeza bakuli la kuomba na kukopa..!Hamjambo!
Wote tunajua kuna ukoloni mamboleo. Zaidi tunafahamu nchi nyingi za kiafrika zilipata uhuru wa bendera.
Tunafahamu pia Katiba inayotumika ni ile ya 1977 ambayo kimsingi inatumia mfumo uleule wa Kikoloni licha ya baadhi ya amendments kadhaa kufanyika.
Kupitia madhaifu hayo. Tumeona harakati zaidi ya miaka 30 ya kudai katiba mpya.
Swali linakuja, je wakoloni wenye ukoloni mamboleo, watakubali tuwe na katiba itakayoathiri maslahi yao?
Swali hili ni kwa Wasomi, hasa wa historia, Siasa, wanasheria, wanadiplomasia, na watu wenye kuwa na uelewa mkubwa wa hizi ishu.
Wale wenzangu na miye. Tutulie.
Ijumaa Kareem
Tatizo siyo mabeberu tatizo ni Raia Feki waislamuHamjambo!

ijumaa sio karimuHamjambo!

Hamjambo!

Katiba yako inamhusu nini wakati mpaka dawa za kusisha vidonda anakununulia?
Au maslai yao kwenye kitu gani?
Babeberu wahausika vipi na katiba acheni propaganda za zamani na utoto
ijumaa sio karimu
Kwanza, ni kweli kwamba nchi nyingi za Afrika zinaendelea kukabiliana na ushawishi wa nje katika nyanja za uchumi, siasa na diplomasia. Pili, mafanikio au kutokufanikiwa kwa mabadiliko ya katiba mara nyingi hutegemea zaidi maamuzi ya ndani, kiwango cha maridhiano ya kisiasa, ushiriki wa wananchi na uimara wa taasisi za taifa.
Kama kuna maslahi ya nje yanayoweza kuathiri mchakato, hayafuti wajibu wa Watanzania wenyewe kuamua aina ya katiba wanayoitaka. Katiba yenye uhalali hupatikana pale ambapo wananchi wanashiriki kikamilifu, maoni yanasikilizwa, na mchakato unakuwa wa uwazi na jumuishi. Hivyo, swali la msingi si tu kama kuna ushawishi wa nje, bali pia kama sisi kama taifa tuna uwezo na dhamira ya kuweka maslahi ya nchi mbele katika kufanya maamuzi yetu.
Tatizo siyo mabeberu tatizo ni Raia Feki waislamu
Acha kutumia lugha ya karaha kuita watu majina hata wewe ukiitwa hivyo hutapenda..mabeberu wakati kila leo mnatembeza bakuli la kuomba na kukopa..!
Kwa maana ya beberu mweusi sawa.
Takataka 🚮🚮🚮Hamjambo!
Wote tunajua kuna ukoloni mamboleo. Zaidi tunafahamu nchi nyingi za kiafrika zilipata uhuru wa bendera.
Tunafahamu pia Katiba inayotumika ni ile ya 1977 ambayo kimsingi inatumia mfumo uleule wa Kikoloni licha ya baadhi ya amendments kadhaa kufanyika.
Kupitia madhaifu hayo. Tumeona harakati zaidi ya miaka 30 ya kudai katiba mpya.
Swali linakuja, je wakoloni wenye ukoloni mamboleo, watakubali tuwe na katiba itakayoathiri maslahi yao?
Swali hili ni kwa Wasomi, hasa wa historia, Siasa, wanasheria, wanadiplomasia, na watu wenye kuwa na uelewa mkubwa wa hizi ishu.
Wale wenzangu na miye. Tutulie.
Ijumaa Kareem
Ndio kwanini wakatae? Mbona sheria nyingi tu mfano natural reosurces na permanent sovereign act, transfer payment regulations, local content regulations chini ya mining act na kuendelea hadi ammendments za 2025 etc.
Zote hizo kwa kiasi fulani ziliandaliwa kubana mianya ya kunyonywa na makampuni ya magharibi lakini hakuna popote walizuia otherwise wakiona kuna vipengele vinawabana wanavileta mbele ya serikali na ndio maana mabadiliko ya sheria na udhibiti hufanywa kila wakati.
Kwahiyo hii kelele kuwa mabeberu watahujumu katiba ni Propaganda za CCM tu ili kuwatisha wananchi. Hata 1992 wananchi walitishwa kuwa vyama vingi vikiletwa vitatumika na mabeberu kuchukua rasilimali lakini wote tumeona miaka 30 tokea vyama vingi bado CCM inatawala na madudu yote ya madini, ubinafsishaji, uwekezaji, ufisadi n.k yamefanywa na CCM pekee.
In fact katiba ikiwa nzuri italeta political na legal stability and certainty kwahiyo itavutia zaidi wawekezaji kuliko sasa ambapo ni kama kila kitu kinategemea Rais anasemaje huo uhuru wa mahakama hata wawekezaji wanapenda maana inawahakikishia kushinda mashauri yao kwa mahakama au wasuluhishi wa ndani maana hakuna upendeleo au serikali kuingilia mahakama.
Cc Proved