Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #21
Takataka ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Katiba ya nchi haijawahi kupitishwa na nchi nyingine na wala haiwezi kuathiri nchi nyingine kama nchi hiyo haiko chini ya mamlaka ya nchi hiyo! Hapa unaleta ujinga mtupu!
Niko hapa beberu nasubiri majibu
Hamjambo!
Wote tunajua kuna ukoloni mamboleo. Zaidi tunafahamu nchi nyingi za kiafrika zilipata uhuru wa bendera.
Tunafahamu pia Katiba inayotumika ni ile ya 1977 ambayo kimsingi inatumia mfumo uleule wa Kikoloni licha ya baadhi ya amendments kadhaa kufanyika.
Kupitia madhaifu hayo. Tumeona harakati zaidi ya miaka 30 ya kudai katiba mpya.
Swali linakuja, je wakoloni wenye ukoloni mamboleo, watakubali tuwe na katiba itakayoathiri maslahi yao?
Swali hili ni kwa Wasomi, hasa wa historia, Siasa, wanasheria, wanadiplomasia, na watu wenye kuwa na uelewa mkubwa wa hizi ishu.
Wale wenzangu na miye. Tutulie.
Ijumaa Kareem
Kuna maslahi gani kwa wakoloni kwenye hii nchi?
๐๐๐
Haya mambo hayapo kama unavyoyaona
Hamjambo!
Wote tunajua kuna ukoloni mamboleo. Zaidi tunafahamu nchi nyingi za kiafrika zilipata uhuru wa bendera.
Tunafahamu pia Katiba inayotumika ni ile ya 1977 ambayo kimsingi inatumia mfumo uleule wa Kikoloni licha ya baadhi ya amendments kadhaa kufanyika.
Kupitia madhaifu hayo. Tumeona harakati zaidi ya miaka 30 ya kudai katiba mpya.
Swali linakuja, je wakoloni wenye ukoloni mamboleo, watakubali tuwe na katiba itakayoathiri maslahi yao?
Swali hili ni kwa Wasomi, hasa wa historia, Siasa, wanasheria, wanadiplomasia, na watu wenye kuwa na uelewa mkubwa wa hizi ishu.
Wale wenzangu na miye. Tutulie.
Ijumaa Kareem
..Kuna Katiba ya kwanza baada ya uhuru ambayo tuliandikiwa na Waingereza.
..Katiba hiyo ilikuwa ni ya mfumo wa vyama vingi.
..pia Katiba hiyo ilikuwa inaruhusu mgombea binafsi.
..Pia kuna chaguzi ambazo zilisimamiwa na Wakoloni wa Kiingereza na zilikuwa chaguzi safi hakukuwa na kuenguliwa, au kuibiana kura, au kutangazwa kwa nguvu.
..Wachambuzi, na wanazuoni wa Katiba, kama Deus Kibamba wanaamini Katiba tuliyoandikiwa na Muingereza ilikuwa na mambo mazuri ambayo TANU ilikuja kuyapiga chini.
Tatizo la katiba ni watanzania wenyewe mafisadi hasa wa CCM hakuna mchawi hapa
Unatoa uharo wewe!Mbona umevua nguo Mkuu? Heshimu jukwaa. Hapa sio kile kichaka ulichozoea kuachia vitu
Unatoa uharo wewe!
Jipost tena kama saa zile kwenye kile chaka chako pendwa
Hivyo Tanzania inaweza kujipatia katiba yake nzuri inayobana maslahi ya Wakoloni na mambo yakaenda fresh tuu?
Tumia akiliWaislam shida yao nini Mkuu.
Mimi sioni tatizo lao kimsingi.
Hizo dini ni kama club ya Simba na Yanga tuu.
Wewe nyani mweusi nakukata mshahara huu mweziTatizo siyo mabeberu tatizo ni Raia Feki waislamu
Tumia akili
Hawana maslahi ya Hila kama unavyotaka kuweka, ama Mwigulu anavyoiweka. Chochote watakacho wanaweza kukipata kwa mikataba halali. Lakini kutaka kuonyesha wao ndio wanaamua katiba yetu iweje, huo ni upotoshaji usio na tija.Unataka kusema Nchi ya Tanzania, wakoloni hawana maslahi nayo?
Kwamba maslahi yaliisha baada ya Tanganyika kupata uhuru then wakapita hivi?
Mchakato wa katiba mpya ulishafanyika wakati wa kikwete. Uliongozwa na jaji warioba. Mchakato ulikwama baada ya CCM kupeleka bungeni rasimu tofauti na ile ya jaji warioba. Wapinzani waligoma wakasema hiyo rasimu sio yenyewe na walitoka nje ya bunge. Mchakato wa katiba mpya ukaishia pale. Kama hao mabeberu hatukuona wakiingiza mkono wao bila shaka hawawezi kufanya hivyo sasa hivi.