Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
- Thread starter
-
- #41
Hawana maslahi ya Hila kama unavyotaka kuweka, ama Mwigulu anavyoiweka. Chochote watakacho wanaweza kukipata kwa mikataba halali. Lakini kutaka kuonyesha wao ndio wanaamua katiba yetu iweje, huo ni upotoshaji usio na tija.
Bungeni ilipelekwa rasimu ya wakina chenge. Wapinzani wakashtukia sio yenyewe ile ya warioba ndio wakatoka njeHivi kumbe kipindi Kile kilichopelekwa bunge hakikuwa rasimu ya Warioba. Ilikuwa Rasimu ya nani? Kuna mwenye hiyo Rasimu iliyowafanya Wapinzani watoke?
Bungeni ilipelekwa rasimu ya wakina chenge. Wapinzani wakashtukia sio yenyewe ile ya warioba ndio wakatoka nje
Hawana muda huo boss kwa sasa. Kwa sasa wametuachia wachina wao ndio wamejikita zaidi huku Africa kwa sasa. Ni aidha unapotosha, ama umechotwa na propaganda za kizee za ccm.Sijasema wao ndio wanaamua iweje.
Ila wanaweza kuinfluence kwa njia mbalimbali
Hawana muda huo boss kwa sasa. Kwa sasa wametuachia wachina wao ndio wamejikita zaidi huku Africa kwa sasa. Ni aidha unapotosha, ama umechotwa na propaganda za kizee za ccm.
Haina vya kutakwa na wazungu hadi wafanye hila kwenye katiba ya wananchi.😆😆😊😀
Kwamba nchi imeishiwa vitu vya maana. Sio?
Tupo huru ndiyo, sema ni vile tu waafrika tukifeli basi tunatafuta wa kumpa lawama kuwa ni mabeberu wanatuonea wivu!!Anhaa!
Itakuwa wewe ni miongoni mwa watu mnaoamini tupo huru sivyo?
Huwa tunapenda kujipa umuhimu sana. Yaani nchi ambayo ni omba omba na karibu 40% ya bajeti inategemea mikopo ya wazungu eti watuonee wivu?Haina vya kutakwa na wazungu hadi wafanye hila kwenye katiba ya wananchi.
Sahihi kabisa....Kuna Katiba ya kwanza baada ya uhuru ambayo tuliandikiwa na Waingereza.
..Katiba hiyo ilikuwa ni ya mfumo wa vyama vingi.
..pia Katiba hiyo ilikuwa inaruhusu mgombea binafsi.
..Pia kuna chaguzi ambazo zilisimamiwa na Wakoloni wa Kiingereza na zilikuwa chaguzi safi hakukuwa na kuenguliwa, au kuibiana kura, au kutangazwa kwa nguvu.
..Wachambuzi, na wanazuoni wa Katiba, kama Deus Kibamba wanaamini Katiba tuliyoandikiwa na Muingereza ilikuwa na mambo mazuri ambayo TANU ilikuja kuyapiga chini.
Ccm huwa wanajificha kwenye hizi propaganda wanapokosolewa.Huwa tunapenda kujipa umuhimu sana. Yaani nchi ambayo ni omba omba na karibu 40% ya bajeti inategemea mikopo ya wazungu eti watuonee wivu?
Kabisa, na huyu mtibel naye anaokota huo utapeli anatuletea humu.Huwa tunapenda kujipa umuhimu sana. Yaani nchi ambayo ni omba omba na karibu 40% ya bajeti inategemea mikopo ya wazungu eti watuonee wivu?
Hii mentality mbovu sana ya CCM kujitafutia kinga pale wanapofeli kila kitu
Mimi naelezaga ukweli ambao mtu yoyote atakaye ukataa lazima yamkute majuto..kwa sababu siku zote wapumbavu ujifunza kwa hasara na maumivu na uchungu ..kwa sababu u practice upumbavuUsiwachukie ndugu zako kisa tofauti zenu za kiimani
Kuamini tu kuwa mudi boy ni mtume tena mtakatifu na uislamu ni dini takatifu ni ujinga kama kuamini muhuni na tapeli mwamposa kuwa naye ni mtume.Wewe nyani mweusi nakukata mshahara huu mwezi
4. MASHARTI NA MUDA MAALUMU KUTOKA COMMONWEALTH CMAG(The Ultimatum)
Kutokana na mapendekezo ya Mjumbe Maalum, CMAG imetoa maelekezo yenye ukomo wa muda (Time-bound actions) kwa Tanzania:
Ndani ya Siku 30: Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria, na kuwaachia wengine wote wanaoshikiliwa kwa kutumia haki zao kwa amani.
Ndani ya Siku 60: Kurejesha upatikanaji kamili wa mitandao ya kijamii na kuacha vitisho dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
Ndani ya Siku 90: Kuitisha jukwaa shirikishi na la kuaminika la vyama vya siasa (likiongozwa na mwezeshaji huru) kujadili mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, wafungwa, na uwajibikaji.
Bila Kuchelewa: Kuanza uchunguzi huru wa makosa ya jinai uliopendekezwa na Tume ya Uchunguzi, pamoja na fidia kwa wahanga.
MWISHO WA UBAYA NI AIBU