Je! Macbook itanifaa?

Hamna unachojua😁
 

kwenye upande wa PC huko hela ndio inaongea,jinsi unavyokuwa na hela nzuri ndio unapata kitu cha maana.

hata ununie hp ya 2.6mln miaka 3 baadae bado utaiuza bei poa tu.
 
Mkuu achana nae, ameonesha yeye ana mahaba na apple.
 
We mshamba kweli
 
Hongera ila unanuaje computer ya 2013 mwaka 2022 tunaenda 23.
 
Hongera sana, Mac ni rahisi sana kuzitumia ukiizoea, rahisi mnoo MFANO mtu anaetumia/Aliwahi kutumia Linux based OS kama KALI LINUX, Ubuntu etc.. Mac haiwezi kumshinda kutumia.

Pamoja sana mkuu
 
Naona matoleo ya M1 na M2 wameondoa hiyo touch bar. Kwanini?
 
Ashahama intel now anatumia arm64 architecture sio tena x64. So latest macs kwa sasa ni mwendo wa m1 na m2
 
Ashahama intel now anatumia arm64 architecture sio tena x64. So latest macs kwa sasa ni mwendo wa m1 na m2
Naye Microsoft surface 9 pro anatoa na configuration za both intel & ARM.
 
Tulia hapo hapo ulipo, kwa budget yako utapata mac ambayo ni outdated na hutafurahia ulimwengu wa Apple, at least upate budget ya mac za 2017 na kuendelea
 
kwenye upande wa PC huko hela ndio inaongea,jinsi unavyokuwa na hela nzuri ndio unapata kitu cha maana.

hata ununie hp ya 2.6mln miaka 3 baadae bado utaiuza bei poa tu.
.
Mkuu, acha kulinganisha Macbooks na vitu vya ajabu. Windows computers haziwezi kushindana at par na macbooks kwa sababu zifuatazo.
.
Perfomance - macbooks zina perform better kuliko windows kwa sababu ya operating system ambayo inakuwa designed na apple wenyewe. So software wise, hakuna bloatware.
. Battery
macbook yangu inakaa na chaji masaa 17, nitafutie laptop ya windows YOYOTE ambayo inaweza kufanya hayo matusi.
.
Design - macbooks generally ziko well desinged & slim shaped, sio kama windows counterparts.
 
Tulia hapo hapo ulipo, kwa budget yako utapata mac ambayo ni outdated na hutafurahia ulimwengu wa Apple, at least upate budget ya mac za 2017 na kuendelea
2017 ni gen ya 7 intel haina issue, ukitaka machine nzuri kote Mac na Pc angalau gen ya 8. And its recomended kwenda M1 ama intel Gen ya 12 over anything gen ya 11 kushuka.
 
1. Battery
Ndio Macbook zinakaa na chaji sana ila utofauti ni mdogo hasa toka Rembrandt (ryzen 6000 series) na 12th gen zitoke.

Hii machine ya intel inabrowse masaa zaidi ya 14 internet, ni kama Tablet tu imepitwa kidogo na Macbook utofauti ni asilimia 8 tu


2. Perfomance zimeshapitwa Macbook, cpu kama Ryzen 6800U inatumika hadi kwenye handheld gaming pc ina cpu na gpu nzuri zaidi kuliko M1, M2 sijacheki ila pia kuna possibility kubwa haifikii. Na hii ni zen 3 artchitechture, zen 4 imetoka kwenye desktop tayari na rdna 3 graphics soon zinakuja kwenye laptop.

Intel nayo pia wana cpu nzuri gen ya 12 imeipita M1 sema intel hana gpu nzuri kuifikia M1 inabidi machine iwe paired na Nvidia gpu. Zipo machine hadi $500 zenye I3 12th gen na Mx550 nvidia.

3. Design kila mtu na anachopenda ila utofauti wa hao kina spectre, xps na wengineo ni mdogo sana, uki click hio link utaiona hio xps ni chembamba sana na chepesi kama KG 1. 1 tu wakati Air ni 1.2kg na ukienda brand zinazospecialise kwenye wepesi kama LG gram unapata nyepesi zaidi. Zina vioo vikali nyengine hadi 4k oled wakati kwenye Mac unakuta macroled na nyengine zina bleeding issues.
 

tatizi windows mlizotumia vyuoni za laki 250k ndio unatumia kama sample.
 
Kula zako chuma cha 2013 retina umemaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…