Je! Macbook itanifaa?

Je! Macbook itanifaa?

Mkuu, kunautofauti sana kati ya MacBook na iPhone. MacBook haiboi kama iPhone, na ukiwa nayo utainjoy sana kwa vitu vingi.

Hizo programm unazosema zote utaweza kuzitumia for free, Iko faster (kutegemeana na specs zake), slim, sio nzito, muonekano mzuri n.k
Hamna unachojua😁
 
.
Mkuu, nilikuwa dilemma kwa muda mrefu kama wewe ila mwezi wa 9 mwaka huu nikaamua kuingia kwenye ulimwengu wa Macs. Nilinunua M1 Macbook Air (Late 2020) and all I can say is it's the best laptop ever made...Yes, it's that good.
.
Kuna mabadikiko kidogo kwenye namna ya kutumia ukilinganisha na Windows PC lakini ndani ya wiki 2 nimejikuta niko very comfortable.
.
Pia ukiwa na Macbooks ni kama investment, hizi computers zinadumu sana na zina hold value over a long time. Unaweza kuitumia hata kwa miaka 3 mpaka 5 na ukaiuza kwa bei nzuri.
.
Kuna sababu kwanini Apple ndio kampuni tajiri duniani, chukua Macbook hutajutia.

kwenye upande wa PC huko hela ndio inaongea,jinsi unavyokuwa na hela nzuri ndio unapata kitu cha maana.

hata ununie hp ya 2.6mln miaka 3 baadae bado utaiuza bei poa tu.
 
Mac ni PC

Tofauti ya macintosh computer na computer nyingine ambazo ni non osx ni operating system tu.

Modern Macs zinatumia architecture ya computer zingine zote ambazo ni intel based.

Swali dogo kwako?

Je lenovo akaamua ku develop OS yake ambayo itakua exclusively for lenovo computers, na hizi computer matumizi yake yakawa ni consumer grade computers, je kwa kufanya hivi hizi computer za lenovo zitakua sio PC tena?

kumbuka hardware zinazotumika kwenye apple, lenovo, gigabyte, asus, hp, dell ni zilezile tofauti ni quality tu na specs kulingana na manufacturer amelenga soko la ngazi gani.
Mkuu achana nae, ameonesha yeye ana mahaba na apple.
 
Mrejesho.

Nimenunua mac ya 2013.

Sijutii hata kidogo aisee iko bomba sana, nimependa shortcut zake na kuhusu mambo ya writing iko bomba sana, kukaa na charge, inajiongeza sana hata kitu kiwe kipya vipi inakupa maelekezo sio kama window PC, kama gari tu, PC ni manua car ila mac ni auto.

View attachment 2401005
wapo watu walinambia ni ngumu kutumia akiwemo muuzaji mmoja wa PC[emoji23] sema hakuna kifaa kinachorahisisha kazi kama hii mashine ya sasa nlokuwa nayo.

Nawashukuru pia kwa wote mliotoa maelezo kuhusu mac.

Ukweli ni kwamba nilichelewa sana ila kule sitamani kurudi aisee[emoji23][emoji23]
We mshamba kweli
 
Hongera ila unanuaje computer ya 2013 mwaka 2022 tunaenda 23.
 
Hongera sana, Mac ni rahisi sana kuzitumia ukiizoea, rahisi mnoo MFANO mtu anaetumia/Aliwahi kutumia Linux based OS kama KALI LINUX, Ubuntu etc.. Mac haiwezi kumshinda kutumia.

Pamoja sana mkuu
 
Huo mwaka unamaanisha toleo la kwanza la hiyo series lilianza mwaka huo, na sio kwamba zote zilitoka mwaka huo, zipo ambazo zimetengenezwa last year lakini series hiyo. Mfano Mimi natumai A1706 with touch bar series ya 2016, naipenda sana hii laptop, ni very portable and fast.

Wewe cha kufanya angalia bajet yako na matumizi Yako, hivyo vitadetermine uchukue ipi. MacBook ni user friendly, ukizoea kuitumia, zile PC nyeusi utaziona mzigo. Binafsi Mac ndo chaguo langu la kwanza na la pili
Naona matoleo ya M1 na M2 wameondoa hiyo touch bar. Kwanini?
 
Mac ni PC

Tofauti ya macintosh computer na computer nyingine ambazo ni non osx ni operating system tu.

Modern Macs zinatumia architecture ya computer zingine zote ambazo ni intel based.

Swali dogo kwako?

Je lenovo akaamua ku develop OS yake ambayo itakua exclusively for lenovo computers, na hizi computer matumizi yake yakawa ni consumer grade computers, je kwa kufanya hivi hizi computer za lenovo zitakua sio PC tena?

kumbuka hardware zinazotumika kwenye apple, lenovo, gigabyte, asus, hp, dell ni zilezile tofauti ni quality tu na specs kulingana na manufacturer amelenga soko la ngazi gani.
Ashahama intel now anatumia arm64 architecture sio tena x64. So latest macs kwa sasa ni mwendo wa m1 na m2
 
Ashahama intel now anatumia arm64 architecture sio tena x64. So latest macs kwa sasa ni mwendo wa m1 na m2
Naye Microsoft surface 9 pro anatoa na configuration za both intel & ARM.
 
Habari zenu wakuu.

Nimekuwa nikizitamani sana hizi PC.

Nimekuwa nikitamani kuhamia huku mazima niachane na mambo ya HP.

Shida ni kwamba sijawahi kuitumia kabisa.
Je! Haitiniletea shida? Kuhusu kuhamisha files maana baadhi ya watu naona wakiiponda.

Wengine wakisema kwamba kuna baadhi ya program lazma ulipie mfano wa program za Microsoft word, excel, access, publisher na power point.

Mimi nitakuwa bize nayo hasa kwenye hizo program na movies kidogo, na baadhi ya program za accounting package kama QuickBook, Tally, MUSE na TANePS.

Je! Macbook itanifaa?

Kitu kingine ni budget yangu naona haitozidi 1 mill.

Nataka kuchukua refurbished hata nikipata macBook air sio mbaya. Na je! Ni ya mwaka gani itakuwa bora kwangu kulingana na matumizi yangu? Mana naona mitandaoni zipo za kuanzia 2011.
Naombeni ushauri wakuu.

Natanguliza shukrani.
Tulia hapo hapo ulipo, kwa budget yako utapata mac ambayo ni outdated na hutafurahia ulimwengu wa Apple, at least upate budget ya mac za 2017 na kuendelea
 
kwenye upande wa PC huko hela ndio inaongea,jinsi unavyokuwa na hela nzuri ndio unapata kitu cha maana.

hata ununie hp ya 2.6mln miaka 3 baadae bado utaiuza bei poa tu.
.
Mkuu, acha kulinganisha Macbooks na vitu vya ajabu. Windows computers haziwezi kushindana at par na macbooks kwa sababu zifuatazo.
.
Perfomance - macbooks zina perform better kuliko windows kwa sababu ya operating system ambayo inakuwa designed na apple wenyewe. So software wise, hakuna bloatware.
. Battery
macbook yangu inakaa na chaji masaa 17, nitafutie laptop ya windows YOYOTE ambayo inaweza kufanya hayo matusi.
.
Design - macbooks generally ziko well desinged & slim shaped, sio kama windows counterparts.
 
Tulia hapo hapo ulipo, kwa budget yako utapata mac ambayo ni outdated na hutafurahia ulimwengu wa Apple, at least upate budget ya mac za 2017 na kuendelea
2017 ni gen ya 7 intel haina issue, ukitaka machine nzuri kote Mac na Pc angalau gen ya 8. And its recomended kwenda M1 ama intel Gen ya 12 over anything gen ya 11 kushuka.
 
.
Mkuu, acha kulinganisha Macbooks na vitu vya ajabu. Windows computers haziwezi kushindana at par na macbooks kwa sababu zifuatazo.
.
Perfomance - macbooks zina perform better kuliko windows kwa sababu ya operating system ambayo inakuwa designed na apple wenyewe. So software wise, hakuna bloatware.
. Battery
macbook yangu inakaa na chaji masaa 17, nitafutie laptop ya windows YOYOTE ambayo inaweza kufanya hayo matusi.
.
Design - macbooks generally ziko well desinged & slim shaped, sio kama windows counterparts.
1. Battery
Ndio Macbook zinakaa na chaji sana ila utofauti ni mdogo hasa toka Rembrandt (ryzen 6000 series) na 12th gen zitoke.

Hii machine ya intel inabrowse masaa zaidi ya 14 internet, ni kama Tablet tu imepitwa kidogo na Macbook utofauti ni asilimia 8 tu

2. Perfomance zimeshapitwa Macbook, cpu kama Ryzen 6800U inatumika hadi kwenye handheld gaming pc ina cpu na gpu nzuri zaidi kuliko M1, M2 sijacheki ila pia kuna possibility kubwa haifikii. Na hii ni zen 3 artchitechture, zen 4 imetoka kwenye desktop tayari na rdna 3 graphics soon zinakuja kwenye laptop.

Intel nayo pia wana cpu nzuri gen ya 12 imeipita M1 sema intel hana gpu nzuri kuifikia M1 inabidi machine iwe paired na Nvidia gpu. Zipo machine hadi $500 zenye I3 12th gen na Mx550 nvidia.

3. Design kila mtu na anachopenda ila utofauti wa hao kina spectre, xps na wengineo ni mdogo sana, uki click hio link utaiona hio xps ni chembamba sana na chepesi kama KG 1. 1 tu wakati Air ni 1.2kg na ukienda brand zinazospecialise kwenye wepesi kama LG gram unapata nyepesi zaidi. Zina vioo vikali nyengine hadi 4k oled wakati kwenye Mac unakuta macroled na nyengine zina bleeding issues.
 
.
Mkuu, acha kulinganisha Macbooks na vitu vya ajabu. Windows computers haziwezi kushindana at par na macbooks kwa sababu zifuatazo.
.
Perfomance - macbooks zina perform better kuliko windows kwa sababu ya operating system ambayo inakuwa designed na apple wenyewe. So software wise, hakuna bloatware.
. Battery
macbook yangu inakaa na chaji masaa 17, nitafutie laptop ya windows YOYOTE ambayo inaweza kufanya hayo matusi.
.
Design - macbooks generally ziko well desinged & slim shaped, sio kama windows counterparts.

tatizi windows mlizotumia vyuoni za laki 250k ndio unatumia kama sample.
 
Back
Top Bottom