Je! Macbook itanifaa?

Nice
Kuna wengine tunapenda MacBook ila tunachukia iPhones
Na MacBook ukitaka uenjoy kiundani zaidi inabidi uwe na iPhone
 
Anunue kuanzia mwaka 2018
Maana mie nilinunuaga ya 2010 ikawa inanletea mazing zong kwa maana waliacha kutoa update ghafla ikakata sauti mpaka utumie headset
Nilinunua Macbook Pro 13" ya M1 mwaka 2021. Naitumia mpaka sasa, no regrets, battery performance same as day one. Katika laptops apple wako vizuri sana

Sent from my SM-S918B using JamiiForums mobile app
 
Chief-Mkwawa naitaji kununua macbook maana pc yangu imealibika naitaji kwamatumizi ya kawaida tu kama ku download movies kusikiliza music kucheki mpira online sielewi kila muuzaji ananishauri vyake mwingine anasema macbook pro 2020 core i5 mwingine macbook air 2020 core i3 mwingine macbook pro 2019 core i9 mwingine macbook air 2020 core m1 wananishauri kulingana na bajeti yangu unaweza kunishauli kulingana namatumizi yangu hayo macbook gani inanifaa kwahata miaka 5 mbele
 
Sema bajeti yako ni kiasi gani.

Zipo MacBook mpaka za 12 mil.!
 
Njoo nikuuzie MACBOOK pro 2017 15"
16gb SSD 256(OPTIONAL)
kwa 2.2 mln picha nitakuwekea jioni
Nikirudi nyumbani
Kama upo interested njoo PM tumalize bei inaongeleka usiogope
 
Mwisho 5m boss ungeangalia hizo nilizoshauliwa ndoungejua bajeti nilionayo
Kwa hii budget mkuu tafuta zenye M1/M2/M3 series.

Matumizi yako uliyotaja ni madogo, kama unataka kusave M1 siku hizi mpya mpaka $700 unapata, itafanya yote hayo.

Otherwise nenda Direct M3 series ambazo ndio zimetoka, ili kupata future proof Macbook air yenye 16GB ram inaanzia $1700.
 
Asante kwa mawazo yako...
Kompyuta zipi za Hp ni nzuri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…