Je, macho yanahusika na tatizo la kujisikia kichwa kizito?

Je, macho yanahusika na tatizo la kujisikia kichwa kizito?

Naxria abdalla

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2025
Posts
204
Reaction score
379
Mambo vipendhy

Husika na mada apo juu je, macho yanachangia na mtu kujiskia kichwa kizito?

Mda mwengine kama kupata kizunguzungu mda huo huo ninavyojiskia hivyo na macho pia huwa kama yanavuta hivi kwa dalili hizi ni sahihi kwenda kwa daktari wa macho?
 
Nenda hospital, anza na daktari physician/general. Yeye sasa ndio atakuelekeza km unatakiwa kumuona daktari wa macho, au akakuandikia vipimo vya kichwa..inaweza kuwa hata corona hio
 
Macho ni scanner (brightness), hivyo ikiwa umekaa kwenye mwanga usio na afya/ balance unaweza sababisha hilo hasa mwanga wa TV/smartphone (black mirrors/ blue light) huweza sababisha. Ikiwa tatizo linakutokea hata ukiwa hautumii vifaa hivi kwa muda mrefu basi huwenda unatatizo zaidi hasa kwenye mfumo wa fahamu ikiwa hili linaambatana na dalili kati ya hizi:-
1, kukosa usingizi, kichwa kuuma, hasa kusikia ganzi mikononi au miguuni, kusikia kama vitu vinatembea miguuni, kichwani au mikononi pia kupata miguu kuwaka moto ingawa hii ni stage kubwa.
If so, give a call or wasiliana na mtaalamu wa afya aliye karibu.
 
Back
Top Bottom